Unalalamika ukiwa wapi? Nje au ndani ya tz? Ni nani afanye wajibu wako na wakati wakifanya ulishawahi kuwaunga mkono kwa kuandamana nao? Timiza wajibu wako kabla hujawalaumu ambao wamejaribu.Hivi upinzani nchi hii umekufa kiasi hiki?? Zama hizi za uwazi na watu wameamka bado tu mnakuwa na hofu na woga?? Sukari bei, umeme haueleweki, maji, ajira hakuna n.k Bado kwenye uchaguzi mnapigwa tu kama watoto wadogo mnaishia kususa tu bila kuchukua hatua? Nchi zote za Afrika yameshafanya mabadiliko vyama tawala vimeangushwa isipokuwa Tanzania! Si kwamba CCM inafanya vizuri, hapana bali ni udhaifu wa upinzani, Shida iko wapi?