Pre GE2025 Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia hawezi kuleta maridhiano peke yake. Mbowe anajua hilo toka mwanzo. Aliamua tu kuigiza kwa muda.
 
Lazima mpuuzwe,sasa kama mna mjumbe wa kamati kuu mwizi wa magar mstaafu unategemea nini?
 
inchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na katitba ya nchi,
anachokifanya Rais kina baraka za utawala wa sheria na katiba, kimefuata uataratibu wa kisherua na kikatiba na kwamba ni kwa maslahi mapana ya waTanzania....

kwahiyo mmeghadhabishwa sana na kitendo cha Rais kuidhinisha maoni ya waTanzania kua sheria?

mnatamani avunje sheria kwa kuwafurahisha ninyi wachache wenye malengo yenu ya kisiasa, ambayo yana viashiria vya kutumwa na mabwenyenye?

unasema ati..
AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA UCHAGUZI .....

si uwabainishe basi ni akina nani hao?
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 

Kwa kuwa amewapuuza wananchi, nao wampuuze. Hana wala msaada wowote kwa Taifa. Ni hasara tupu.

Tangazeni maandamano yasiyo na mwisho.
 
Inasikitisha sana mkuu, chakufanya hapo ni Chadema kususia uchaguzi tuu ili kutuma ujumbe kwenye mataifa kuwa Tanzania sio sehemu salama

Kususa kuna kuwa na maana kwa kiongozi mwenye akili na hekima, kwa sababu anatazama athari zake mbeleni. Ambaye hana, ukisusa yeye atashangilia.

Hapa inatakiwa kutangaza maandamano yasiyo na mwisho, na kumtangaza yeye binafsi kama adui wa demokradia na ustawi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…