Pre GE2025 Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unalalamika ukiwa wapi? Nje au ndani ya tz? Ni nani afanye wajibu wako na wakati wakifanya ulishawahi kuwaunga mkono kwa kuandamana nao? Timiza wajibu wako kabla hujawalaumu ambao wamejaribu.
 
Na ulivyounga mkono kuwa vilivyobaki vitashiriki huioni hiyo contradiction? Uchawa huuwezi Bora uanze kuuza tangawizi ya moto mjini.
Mkuu, Chadema wakisusa hayo n matatizo yao wnyw kama ambavyo vyama vngn vikisusa
 
Wapinzani wa bongo wanafaidika na mfumo wa mafisadi ndio maana wana hangaika na mambo ya kipuuzi badala ya kupambana na kero za wananchi.

Wanaacha kuhangaika na mambo ya msingi 24/7 wanapambana na marehemu alie wanyima kwenda kunywa chai magogoni, hovyo kabisa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Piga spana hadi waache ujinga wao,kama yule mwizi mstaafu wa magari hovyo sana,sumu ya nyigu kuna wakat ana akili
 
J
Jiulize, hawako serious ni sababu wanapenda ubunge wakale bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…