Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.
Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.
Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.
Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
Wrong is wrong no matter who says it !!
Unapozungumzia habari za kufungwaKwa sababu za circumstantiall evidence , na Hawa wanafungwa Kwa sababu zile ...
Sio kazi ya Magereza hiyo ,, mnyororo wake unaanzia Jeshi la Polisi !!.
Yes, MAGUFULI alikua sahihi kuhitaji Jeshi la Magereza liwawajibishe haswa Hawa wafungwa, Huwezi kuingiza Taifa Hasara kulisha Mfungwa ,wakati tayari hiyo ni Human resources tosha Kwa Jeshi lenyewe kujiendesha .
RAIS NAONA ANAKUJA NA SIASA ZA KIZAMAAAN, ZILIZOPITWA NA NA WAKATI , TUPO KWENYE DUNIA MPYA SASA, DUNIA AMBAYO ,KIONGOZI WA NCHI ANAIWAJIBIKIA NCHI YAKE KWELIKWELI !!.
Anachokifanyaaa sanasana , ni kuendelea kuwathibitishia Watanzania kua YEYE NA JPM ,HAZIKUIVA, NA KWAMBA ANAFURAHIA SANA KIFO CHAKE .
NA HAYO HUWA NI MAWAZO YA MTU MWENYE AKILI KIDUCHU...AND YES, UDUCHU WA AKILI YAKE, UNAONEKANA KWENYE SAFARI YAKE YA KIELIMU, SAFARI ILOJAAA KUUNGA UUNGA VICHETI CHETI SABABU YA KUA NA BRAIN NDOGO !!.