Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Ulichosema hakina uhusiano na nilichosema. Ungemnukuu mtoa mada moja kwa moja!Ila wanawake huwa Wana hofu flani kwenye utendaji,wakweli...wanaume mboyoyo nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichosema hakina uhusiano na nilichosema. Ungemnukuu mtoa mada moja kwa moja!Ila wanawake huwa Wana hofu flani kwenye utendaji,wakweli...wanaume mboyoyo nyingi
Kwanza kila rais wa kila nchi ni kutoka kwa Mungu, ila ukifanya ndivyo sivyo, kwa baadhi, aliyewaleta huwa ana kutwaa!.Hebu tutajie Rais wa nchi hii ambaye hakuwa baraka toka kwa Mungu tumjue
Isije ikawa unatafuta teuzi mkuu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sisi watu wazima tunakuelewa...nilazima umwage sifa ili angalau wakufirikie...vp mchakato wa ubunge wa EA umefikia wapi?kuna mwanga au ndo unajipalilia kwa hizi post zako?Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.
Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.
Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.
Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
Subiri siku yakukute ndiyo utanielewa ninachosema!!Wamekufanyia hivyo kwenye kesi zako ngapi?
Kwaio waliotwaliwa wote walifanya ndivyo sivyo? Heb tuanzie hapo?vp wale waliofanya ndivyo sivyo na hawajatwaliwa mpaka leo?Kwanza kila rais wa kila nchi ni kutoka kwa Mungu, ila ukifanya ndivyo sivyo, aliyekuleta ana kutwaa!.
P
Mkuu Shimba ya Buyenze, mimi na u DC wapi na wapi? Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Itafika mahali huyu jamaa wampe tu hata u DC ili apumzike. U chawa wala haumfai!
Not necesarilyKwaio waliotwaliwa wote walifanya ndivyo sivyo? Heb tuanzie hapo?vp wale waliofanya ndivyo sivyo na hawajatwaliwa mpaka leo?
Ooh hapo nimekupata mkuuKwanza kila rais wa kila nchi ni kutoka kwa Mungu, ila ukifanya ndivyo sivyo, kwa baadhi, aliyewaleta huwa ana kutwaa!.
P
Hakukuwa na ulazima wa kumnanga marehemu. Kukuita njaa alikuwa anatania tu msamehe alishalala mauti!
Comment yako hii na nyingine za aina hii zinaonyesha uelewa wa Waafrika walio wengi kuhusu concept ya Gender and Development ni ndogo sana! Mhe. Rais kazungumza ktk lugha rahisi sana kuhusu IMPACT ya women participation ktk decision making, kwa upande wa mahakamani. Kwamba imesaidia kupunguza malalamiko ya kusiginwa kwa haki.Huyu mama anataka kutumia kichaka Cha u-women kuficha udhaifu wake na uwezo wake mdogo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo katika hao majaji 50 alio wateua [ 23 wanawake + 27 wanaume ] ni 23 wametenda haki ila hao 27 hawaja tenda haki hivyo ndivyo anavyo maanisha ?🤔Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake.
Kwa sasa amesema ameshateua majaji 23 wa kike na 27 wanaume na ameazimia kufikia 50/50. Amesema majaji wanawake wanateuliwa kwa sifa walizonazo na sio jinsia zao tu.
Amesema mbali na maboresho ya mahakama majaji wanawake wanakuwa na moyo katika kutoa hukumu. Hali inayoongeza utendaji mwema wa mahakama tofauti na wanaume.
Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake.
Kwa sasa amesema ameshateua majaji 23 wa kike na 27 wanaume na ameazimia kufikia 50/50. Amesema majaji wanawake wanateuliwa kwa sifa walizonazo na sio jinsia zao tu.
Amesema mbali na maboresho ya mahakama majaji wanawake wanakuwa na moyo katika kutoa hukumu. Hali inayoongeza utendaji mwema wa mahakama tofauti na wanaume.
MessageKwa lugha yako hii, wewe unastahili sio tu kushushiwa kitu kizito, wangekukata kichwa chako kabisa kwani inaonekana kimejaa kinyesi. Wavaa mashuka ni watu gani?
Kweli yamenikuta, ogopa sana watu wanajifanya washika dini sana, wanafikiHuku Mahakama za Nchini Mahakimu Wanawake ni jipu, wao ukiwawekea mpunga tu,na ushindi unapewa hata Kama haki si yako!!
Then dont generalize vitu...siasa isikufanye ukakengeuka.Not necesarily
P
Huku sio kukosoa viongozi, kitu ambacho ni wajibu wetu, bali ni kutukana, kitu ambacho ni kosa mahali popote.Wrong is wrong no matter who says it !!
Unapozungumzia habari za kufungwaKwa sababu za circumstantiall evidence , na Hawa wanafungwa Kwa sababu zile ...
Sio kazi ya Magereza hiyo ,, mnyororo wake unaanzia Jeshi la Polisi !!.
Yes, MAGUFULI alikua sahihi kuhitaji Jeshi la Magereza liwawajibishe haswa Hawa wafungwa, Huwezi kuingiza Taifa Hasara kulisha Mfungwa ,wakati tayari hiyo ni Human resources tosha Kwa Jeshi lenyewe kujiendesha .
RAIS NAONA ANAKUJA NA SIASA ZA KIZAMAAAN, ZILIZOPITWA NA NA WAKATI , TUPO KWENYE DUNIA MPYA SASA, DUNIA AMBAYO ,KIONGOZI WA NCHI ANAIWAJIBIKIA NCHI YAKE KWELIKWELI !!.
Anachokifanyaaa sanasana , ni kuendelea kuwathibitishia Watanzania kua YEYE NA JPM ,HAZIKUIVA, NA KWAMBA ANAFURAHIA SANA KIFO CHAKE .
NA HAYO HUWA NI MAWAZO YA MTU MWENYE AKILI KIDUCHU...AND YES, UDUCHU WA AKILI YAKE, UNAONEKANA KWENYE SAFARI YAKE YA KIELIMU, SAFARI ILOJAAA KUUNGA UUNGA VICHETI CHETI SABABU YA KUA NA BRAIN NDOGO !!.
Huku sio kukosoa viongozi, kitu ambacho ni wajibu wetu, bali ni kutukana, kitu ambacho ni kosa mahali popote.
Kwa mujibu wa haya matapishi na Uharo uliyoweka hapa mtandaoni, inaelekea wewe ndio umejaza makamasi kichwani badala ya ubongo na hicho kichwa umebeba kama mzigo mwingine wowote kwa shingo na mabega yako. Pole sana maana huna tofauti na mtu aliyebeba mzigo wa kuni.
Sasa ngoja nikutoe Nta masikioni na matongongo machoni kwa kukunywesha dawa uliyoikoroga mwenyewe, kama kwa bahati nzuri wewe ni mjinga tu asiye na mtindio utaelewa kitu;
*Ni kweli kuwa sio kila mfungwa anayepatikana na hatia na kufungwa au hata kunyongwa, ni lazima awe ametenda kosa. Ungekuwa unatumia hata uti wa mgongo au matako kufikiri, ungekuwa unafahamu kuwa mara nyingi mahakama za juu zimeshatengua maamuzi ya mahakama za chini, unadhani kwanini ?
Je kwa wengi ambao hawana uwezo wa kukata rufani au kutetewa na mawakili, unadhani ni kitu gani kinawatokea?
*Mahakama peke yake ndizo zina jukumu la kutoa adhabu kwa wanaopatikana na makosa sio jukumu la mtu mwingine yeyote, ikiwa ni pamoja na Rais anayeruhusiwa kutoa adhabu nyingine yoyote ambayo haikutamkwa na hakimu katika hukumu.
*Hivyo kuwa adhibu wafungwa, iwe ni kuwapiga mateke, kuwafanyisha kazi bila malipo, ni kosa.
*Hata wafungwa wana haki zote isipokuwa kunyimwa uhuru wao kwa kuzuiliwa magerezani (Hiyo ndio adhabu yao) Wanaweza kufundishwa stadi za kazi/ufundi zitakazo wasaidia wakirudi uraiani sio kufanyishwa kazi kama adhabu kama hakimu hakusema hivyo.
*Ni wajibu wa serikali kuwahudumia wafungwa kwa kutumia kodi na tozo zetu, sio kuwalazimisha eti wajilishe wenyewe sijui kitu gani!! Hizo ndizo huduma za kijamii tunazolipia kodi.
*Kama serikali haina uwezo wa kuhudumia wafungwa basi iwape vifungo vya nje wajihudumie wenyewe.
* Hivi wewe unajua tofauti ya Ubongo na Akili? Huonyeshi kama kuna kitu unachojua!!
*Kutokuelewana na boss wake kama ni kweli, kwanini unadhani ni tatizo lake? Nani kakuambia boss wake hakuwa na matatizo?
*Siku nyingine ukijisikia unaumwa tumbo la kuharisha wahi chooni, sio kuja mitandaoni na kupayuka kwa herufi kubwa kuonyesha dunia jinsi ulivyo zumbukuku.
Tofautisha Hakimu na Jaji chifu. Umeshaambiwa majaji wanawake wanatumia mioyo kutoa hukumu. Hao wengine including majaji wanaume wao hutumia Figo kutoa hukumu. Understand? Nchi ngumu hii, kukikucha Salama wewe shukuru Mungu. Mengine waachie wao.Huyu rais anaongeaga tu. Nimepita mahakama za kinondoni na sinza, kesi yangu ilikuwa dhahiri kwa mtu aliyeniibia. Kesi zote zimetolewa hukumu na mahakimu wa kike, tena wavaa mashuka vichwani kujifanya wachamungu, ila walipokea rushwa na kunishushia kitu kizito kichwani mwangu