Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake.
Kwa sasa amesema ameshateua majaji 23 wa kike na 27 wanaume na ameazimia kufikia 50/50. Amesema majaji wanawake wanateuliwa kwa sifa walizonazo na sio jinsia zao tu.
Amesema mbali na maboresho ya mahakama majaji wanawake wanakuwa na moyo katika kutoa hukumu. Hali inayoongeza utendaji mwema wa mahakama tofauti na wanaume.
Huku Mahakama za Nchini Mahakimu Wanawake ni jipu, wao ukiwawekea mpunga tu,na ushindi unapewa hata Kama haki si yako!!Huyu rais anaongeaga tu. Nimepita mahakama za kinondoni na sinza, kesi yangu ilikuwa dhahiri kwa mtu aliyeniibia. Kesi zote zimetolewa hukumu na mahakimu wa kike, tena wavaa mashuka vichwani kujifanya wachamungu, ila walipokea rushwa na kunishushia kitu kizito kichwani mwangu
Lini ulimkosoa huyo unayemlinganisha na huyu samia wako unayemsema na je huyo unayemkosoa saiv yuko hai na kama hayuko hai nani atamtetea maana allegations unazozileta humu angekuwepo angejibu yeye mwenyewe au umechanganyikiwa umebaki kwenye genge la praise team by the way wafuas wa walamba asali kupitia tozo tunawajua hata wale maprofesa uchwara wa majalalani waliwahi kumuita magufuli Mungu hio yote ilikuwa ni kudhihirisha kuwa elimu zao hazikuwa msaada wowote kwa watanzania walio wengi matokeo yake hata hilo lichama lenu la ccm mmeliuwa saiv wabunge wenu wa mchongo na wenyeviti wenu wa mchongo wa vijiji na vitongoji hawawez kuitisha mikutano ya hadhara na kupata watu hata ishirini, so wewe endelea na ndo zako kuwa huyo samia kaletwa na Mungu na 2025 ndo mtajua kama kaletwa na Mungu au mungu.
Wamekufanyia hivyo kwenye kesi zako ngapi?Huku Mahakama za Nchini Mahakimu Wanawake ni jipu, wao ukiwawekea mpunga tu,na ushindi unapewa hata Kama haki si yako!!
Ila wanawake huwa Wana hofu flani kwenye utendaji,wakweli...wanaume mboyoyo nyingiUchawa unalipa...
Ndipo tulipofikia!
Hahahaaaaa........😄😅Lini ulimkosoa huyo unayemlinganisha na huyu samia wako unayemsema na je huyo unayemkosoa saiv yuko hai na kama hayuko hai nani atamtetea maana allegations unazozileta humu angekuwepo angejibu yeye mwenyewe au umechanganyikiwa umebaki kwenye genge la praise team by the way wafuas wa walamba asali kupitia tozo tunawajua hata wale maprofesa uchwara wa majalalani waliwahi kumuita magufuli Mungu hio yote ilikuwa ni kudhihirisha kuwa elimu zao hazikuwa msaada wowote kwa watanzania walio wengi matokeo yake hata hilo lichama lenu la ccm mmeliuwa saiv wabunge wenu wa mchongo na wenyeviti wenu wa mchongo wa vijiji na vitongoji hawawez kuitisha mikutano ya hadhara na kupata watu hata ishirini, so wewe endelea na ndo zako kuwa huyo samia kaletwa na Mungu na 2025 ndo mtajua kama kaletwa na Mungu au mungu.
Hivi yupo?Lini ulimkosoa huyo unayemlinganisha na huyu samia wako unayemsema na je huyo unayemkosoa saiv yuko hai na kama hayuko hai nani atamtetea maana allegations unazozileta humu angekuwepo angejibu yeye mwenyewe au umechanganyikiwa umebaki kwenye genge la praise team by the way wafuas wa walamba asali kupitia tozo tunawajua hata wale maprofesa uchwara wa majalalani waliwahi kumuita magufuli Mungu hio yote ilikuwa ni kudhihirisha kuwa elimu zao hazikuwa msaada wowote kwa watanzania walio wengi matokeo yake hata hilo lichama lenu la ccm mmeliuwa saiv wabunge wenu wa mchongo na wenyeviti wenu wa mchongo wa vijiji na vitongoji hawawez kuitisha mikutano ya hadhara na kupata watu hata ishirini, so wewe endelea na ndo zako kuwa huyo samia kaletwa na Mungu na 2025 ndo mtajua kama kaletwa na Mungu au mungu.
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.
Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.
Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.
Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
Hebu tutajie Rais wa nchi hii ambaye hakuwa baraka toka kwa Mungu tumjueLeo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.
Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.
Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.
Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
Huyu rais anaongeaga tu. Nimepita mahakama za kinondoni na sinza, kesi yangu ilikuwa dhahiri kwa mtu aliyeniibia. Kesi zote zimetolewa hukumu na mahakimu wa kike, tena wavaa mashuka vichwani kujifanya wachamungu, ila walipokea rushwa na kunishushia kitu kizito kichwani mwangu
Wanaume Walio OA MITALA kina Aweso na Mchengerwa.Huyu mama anataka kutumia kichaka Cha u-women kuficha udhaifu wake na uwezo wake mdogo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Itafika mahali huyu jamaa wampe tu hata u DC ili apumzike. U chawa wala haumfai!Hebu tutajie Rais wa nchi hii ambaye hakuwa baraka toka kwa Mungu tumjue
Isije ikawa unatafuta teuzi mkuu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app