Rais Samia asema majaji wanawake wamesaidia kupunguza malalamiko dhidi ya Mahakama

Sisi watu wazima tunakuelewa...nilazima umwage sifa ili angalau wakufirikie...vp mchakato wa ubunge wa EA umefikia wapi?kuna mwanga au ndo unajipalilia kwa hizi post zako?
 
Hakukuwa na ulazima wa kumnanga marehemu. Kukuita njaa alikuwa anatania tu msamehe alishalala mauti!

Na hii dhana ya kwamba huyu rais au yule ni zawadi kutoka kwa Mungu pengine ni kutokuyaelewa maandiko tu maana yanasema kila mamlaka imetoka kwa Mungu.

Ukiteuliwa u-DC utaukataa au fokasi yako yote kwa sasa iko kwenye ubunge wa bunge la Afrika Mashariki?
 
Huyu mama anataka kutumia kichaka Cha u-women kuficha udhaifu wake na uwezo wake mdogo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Comment yako hii na nyingine za aina hii zinaonyesha uelewa wa Waafrika walio wengi kuhusu concept ya Gender and Development ni ndogo sana! Mhe. Rais kazungumza ktk lugha rahisi sana kuhusu IMPACT ya women participation ktk decision making, kwa upande wa mahakamani. Kwamba imesaidia kupunguza malalamiko ya kusiginwa kwa haki.

Tena, Mhe. Rais amesisitiza wanawake anaowateua wanakuwa na sifa; ili kuleta IMPACT chanya. Ndiyo maana ktk Gender and development dunia inasisitiza umuhimu wa equal participation ya MEN and WOMEN ktk decision making. Ndicho kwa urahisi alichomaanisha. Ndiyo maana ameteua wanawake na wanaume Majaji tena wanaume ni wengi.

NOTE TAKING AND NOTE MAKING:
NB: Tuwe makini, watulivu na fikra chanya tunaposikiliza na kuandika ya viongozi wetu wakiongozwa na Mhe. Rais, ili tukijadili basi tuonyeshe ukomavu na si upotoshaji.# Pia tuachane na patriarchy system.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwa hiyo katika hao majaji 50 alio wateua [ 23 wanawake + 27 wanaume ] ni 23 wametenda haki ila hao 27 hawaja tenda haki hivyo ndivyo anavyo maanisha ?πŸ€”
 

Kwa hiyo kuhusu Siyami na Tingatinga ndiyo kasema je sasa?
 
Kwa lugha yako hii, wewe unastahili sio tu kushushiwa kitu kizito, wangekukata kichwa chako kabisa kwani inaonekana kimejaa kinyesi. Wavaa mashuka ni watu gani?
Message
Huku Mahakama za Nchini Mahakimu Wanawake ni jipu, wao ukiwawekea mpunga tu,na ushindi unapewa hata Kama haki si yako!!
Kweli yamenikuta, ogopa sana watu wanajifanya washika dini sana, wanafiki
 
Huku sio kukosoa viongozi, kitu ambacho ni wajibu wetu, bali ni kutukana, kitu ambacho ni kosa mahali popote.
Kwa mujibu wa haya matapishi na Uharo uliyoweka hapa mtandaoni, inaelekea wewe ndio umejaza makamasi kichwani badala ya ubongo na hicho kichwa umebeba kama mzigo mwingine wowote kwa shingo na mabega yako. Pole sana maana huna tofauti na mtu aliyebeba mzigo wa kuni.
Sasa ngoja nikutoe Nta masikioni na matongongo machoni kwa kukunywesha dawa uliyoikoroga mwenyewe, kama kwa bahati nzuri wewe ni mjinga tu asiye na mtindio utaelewa kitu;
*Ni kweli kuwa sio kila mfungwa anayepatikana na hatia na kufungwa au hata kunyongwa, ni lazima awe ametenda kosa. Ungekuwa unatumia hata uti wa mgongo au matako kufikiri, ungekuwa unafahamu kuwa mara nyingi mahakama za juu zimeshatengua maamuzi ya mahakama za chini, unadhani kwanini ?
Je kwa wengi ambao hawana uwezo wa kukata rufani au kutetewa na mawakili, unadhani ni kitu gani kinawatokea?
*Mahakama peke yake ndizo zina jukumu la kutoa adhabu kwa wanaopatikana na makosa sio jukumu la mtu mwingine yeyote, ikiwa ni pamoja na Rais anayeruhusiwa kutoa adhabu nyingine yoyote ambayo haikutamkwa na hakimu katika hukumu.
*Hivyo kuwa adhibu wafungwa, iwe ni kuwapiga mateke, kuwafanyisha kazi bila malipo, ni kosa.
*Hata wafungwa wana haki zote isipokuwa kunyimwa uhuru wao kwa kuzuiliwa magerezani (Hiyo ndio adhabu yao) Wanaweza kufundishwa stadi za kazi/ufundi zitakazo wasaidia wakirudi uraiani sio kufanyishwa kazi kama adhabu kama hakimu hakusema hivyo.
*Ni wajibu wa serikali kuwahudumia wafungwa kwa kutumia kodi na tozo zetu, sio kuwalazimisha eti wajilishe wenyewe sijui kitu gani!! Hizo ndizo huduma za kijamii tunazolipia kodi.
*Kama serikali haina uwezo wa kuhudumia wafungwa basi iwape vifungo vya nje wajihudumie wenyewe.
* Hivi wewe unajua tofauti ya Ubongo na Akili? Huonyeshi kama kuna kitu unachojua!!
*Kutokuelewana na boss wake kama ni kweli, kwanini unadhani ni tatizo lake? Nani kakuambia boss wake hakuwa na matatizo?
*Siku nyingine ukijisikia unaumwa tumbo la kuharisha wahi chooni, sio kuja mitandaoni na kupayuka kwa herufi kubwa kuonyesha dunia jinsi ulivyo zumbukuku.
 


Hauna Akili, na Hilo BICHWA huenda umepewa kufugia chakula Cha minyoo ila unalitumia vibaya.


Sio jukumu la Magereza kuthibitisha uhali wa Hatia na Vifungo Kwa Wafungwa .

Ni Jukumu la Mahakama, na hivo Mahakama zinawajibika kutenda haki na haki hiyo lazima ianzie Jeshi la Polisi .

Jeshi letu la Magereza, linawajibika kuhakikisha kwamba Mahitaji ya wafungwa yanafikiwa, na Moja ya Hitaji la msingi ni CHAKULA.

Hapa ndipo Hayati JPM , alikuja na Order ya Magereza kutumia nguvu kazi ya wafungwa, kujizalishia chakula Chao .!!.

Huwezi pelekwa Gerezani Kwa makosa yako , alafu Serikali iingie gharama kukulisha ili hali kulikuwa na uwezekano wa kuzalisha chakula .

Wafungwa lazima wafanye kazi na kazi hizo hazipaswi kuchukuliwa kua ni Adhabu , ndio Sababu huko Kuna orodheshwa Ujuzi wa Mfungwa Mmoja Mmoja, na baadae wanatumika kuzalisha ili kupitia kuzalisha kwao, Wahudumiwe...Hiyo sio Adhabu !!.


Unataka Wafungwa wale Bata ?? Et kufunzwa ushonaji na manini??? Are you serious? Ulishindwa kujifunza hayo VETA wakati ulipokua huru mtaani ?.
 
Tofautisha Hakimu na Jaji chifu. Umeshaambiwa majaji wanawake wanatumia mioyo kutoa hukumu. Hao wengine including majaji wanaume wao hutumia Figo kutoa hukumu. Understand? Nchi ngumu hii, kukikucha Salama wewe shukuru Mungu. Mengine waachie wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…