Sio Warioba kweli?Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania naona kashaanza kushituka juu ya wastaafu hasa wanaopenda kumpa ushauri ambao hauna afya katika kuendesha nchi kwa maneno hayo huenda alishaanza kuona yule mtu wa msoga anamsumbuasumbua maana ni miongoni mwa wastaafu wenye nguvu na ushawishi ndani ya ccm aliyebaki hata kwa wafanyabiashara pia ambao mfano mzuri ni Ristam azizi! kwa hali hii naona kuna kitu hakipo sawa sasa ni wakati raisi ajue yeye ndiye raisi asiwepo kama nembo tu ni vizuri asikilize watu wake na achuje yale wanayomshauri hii nikutokana kwamba tangu aingie madarakani ni kama chombo kinaendeshwa na mtu aliye nje ya serikali
Kwa maneno hayo hapo chini kuna kitu hakipo sawa mambo yanazidi kubadilika siku hadi siku tunapoelekea 2025[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2434531
Sidhani kama kauli hii inamlenga mzee wa msoga, kwa mtizamo wangu ni Kama ina mgusa WariobaRaisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania naona kashaanza kushituka juu ya wastaafu hasa wanaopenda kumpa ushauri ambao hauna afya katika kuendesha nchi kwa maneno hayo huenda alishaanza kuona yule mtu wa msoga anamsumbuasumbua maana ni miongoni mwa wastaafu wenye nguvu na ushawishi ndani ya ccm aliyebaki hata kwa wafanyabiashara pia ambao mfano mzuri ni Ristam azizi! kwa hali hii naona kuna kitu hakipo sawa sasa ni wakati raisi ajue yeye ndiye raisi asiwepo kama nembo tu ni vizuri asikilize watu wake na achuje yale wanayomshauri hii nikutokana kwamba tangu aingie madarakani ni kama chombo kinaendeshwa na mtu aliye nje ya serikali
Kwa maneno hayo hapo chini kuna kitu hakipo sawa mambo yanazidi kubadilika siku hadi siku tunapoelekea 2025[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2434531
Alijiamini coz alijua walionyuma yake ni wale jamaa wa nyuma ya pazia!Ameanza kujiamini eeh! Atembee kwa uangalifu lakini, hao watangulizi wana nguvu ya bara ambayo ndio inampa uraisi. Asipoangalia wanaweza kuridhia Chadema ichukue nchi kuliko yeye aendelee kuwa raisi
Msoga alimpa Mkapa kavukavu, msiponiteua kuwa mgombea wa CCM basi naenda kugombea Chadema, na tutashinda. Sasa kama unataka CCM ifie mikononi mwako weka mgombea wako ambae taarifa ya TISS zinasema yeye hana madhambi.
Mkapa akatupilia mbali ripoti za TISS
Labda wale wazee wastaafu waliosema Bashiru ajibiwe kwa hoja sio kushambuliwa kwa manenoBashiru hakuwa anamshauri yeye
Hana haki ya kupumzika hata kama ametangulia hatumuachi. The sad thing we have to sit down on the negotiation table with the devil so that he can be extradited back to earrth to face charges of all attrocities he commited against Tanzania From rape, murder, infedility, extortion, arson, homicide, genocide, theft, robbery, banditry, gossiping, backbiting, prejudice, tribalism,terrorism, corruption... name them.JPM na Sak
Acha hoja mufilisi ' the dead has no tale to tell' ,JPM keshapumzika na Rais Dkt.Samia amezungumzia mazingira ya sasa.
Kuna misukule ya jiwe imebaki kila siku unamlaumu kwa kutokufuata upuuzi wa jiweJPM na Sak
Acha hoja mufilisi ' the dead has no tale to tell' ,JPM keshapumzika na Rais Dkt.Samia amezungumzia mazingira ya sasa.
Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa kuigwa ukifatilia hotuba zake vizuri utagundua kwamba Tanzania iko mikono salamaRais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni muhimu kuwa mnyenyekevu ikiwemo kuwasikiliza watu zaidi na kuzungumza kidogo.
Rais Samia kasema ni muhimu kuwasikiliza hata wale wanaodhaniwa ni wapumbavu kwasababu wanaweza kuwa na kitu cha msingi cha kujifunza kutoka kwao. Pia kuelewa jamii yako unayotaka kuwasiliana nao.
Ushauri wa mwisho Rais Samia amesema ni muhimu kujifunza kutoka kwa watangulizi, wale ambao wanafahamu taasisi unayoifanyia kazi kwani wapo wazoefu, watangulizi ambao wamekuwa kwenye ofisi husika kwa muda mrefu, Rais Samia amewataka viongozi kuwasikiliza lakini wasilazimike kufata matakwa yao bali watafute njia yao na muelekeo wao.
Pia Rais Samia ametaka viongozi hao kutolazimisha watu, wasiwe na udikteta bali washirikishe watu, wasiagize watu wakafanye vitu bali wawe na mbinu shirikishi. Amesema wakiwa na udikteta safari yao itakuwa fupi na wahakikishe nafasi walinayo wanayo kwa muda mrefu sio mfupi kwani kuna wakati watakuwa wanajaribiwa.
Kongamano la wanawake viongozi vijana Afrika
Zanzibar
03/12/2022
View attachment 2434304
Akae kwanza kwa kutulia mpaka 2030 maana Dr Samia Suluhu tupo nae mpaka 2030Sawa, lakini sisi kama chadema, hatutakubali usaliti wa Zitto kwa mabadiliko ya nchi hii, kwanini anapanga kugombea urais ili apunguze kura za Lissu? 😒
kama anaweza akasikiliza ushauri wa mtu kama Nape au Makamba...basi we have to brace ourselvesRaisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania naona kashaanza kushituka juu ya wastaafu hasa wanaopenda kumpa ushauri ambao hauna afya katika kuendesha nchi kwa maneno hayo huenda alishaanza kuona yule mtu wa msoga anamsumbuasumbua maana ni miongoni mwa wastaafu wenye nguvu na ushawishi ndani ya ccm aliyebaki hata kwa wafanyabiashara pia ambao mfano mzuri ni Ristam azizi! kwa hali hii naona kuna kitu hakipo sawa sasa ni wakati raisi ajue yeye ndiye raisi asiwepo kama nembo tu ni vizuri asikilize watu wake na achuje yale wanayomshauri hii nikutokana kwamba tangu aingie madarakani ni kama chombo kinaendeshwa na mtu aliye nje ya serikali
Kwa maneno hayo hapo chini kuna kitu hakipo sawa mambo yanazidi kubadilika siku hadi siku tunapoelekea 2025[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2434531
Akili huna wewe! Jiwe anamshauri nini Kwa sasa?Ndio, yeye sio kibaraka wa watangulizi wake, yeye ni Rais
Nashangaa wanaotaka afuate zile sera mufilisi za jiwe
Miaka mitano yote zinapiga kazi, mavyuma yanasagika huko ndani, unataka zisifanyiwe ukarabati?
Umuache usimuache, kazi unayojipa ni ya kipumbavu Kwa sababu yeye hatoi ushauri Kwa Rais sasa!Hana haki ya kupumzika hata kama ametangulia hatumuachi. The sad thing we have to sit down on the negotiation table with the devil so that he can be extradited back to earrth to face charges of all attrocities he commited against Tanzania From rape, murder, infedility, extortion, arson, homicide, genocide, theft, robbery, banditry, gossiping, backbiting, prejudice, tribalism,terrorism, corruption... name them.
Hatumuachi!
Magonjwa Mtambuka
Brace for disastrous moments to come.kama anaweza akasikiliza ushauri wa mtu kama Nape au Makamba...basi we have to brace ourselves