Rais Samia ashauri umuhimu wa kusikiliza watangulizi lakini hailazimiki kufata matakwa yao. Akemea udikteta kwani hufupisha safari

Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania naona kashaanza kushituka juu ya wastaafu hasa wanaopenda kumpa ushauri ambao hauna afya katika kuendesha nchi kwa maneno hayo huenda alishaanza kuona yule mtu wa msoga anamsumbuasumbua maana ni miongoni mwa wastaafu wenye nguvu na ushawishi ndani ya ccm aliyebaki hata kwa wafanyabiashara pia ambao mfano mzuri ni Ristam azizi! kwa hali hii naona kuna kitu hakipo sawa sasa ni wakati raisi ajue yeye ndiye raisi asiwepo kama nembo tu ni vizuri asikilize watu wake na achuje yale wanayomshauri hii nikutokana kwamba tangu aingie madarakani ni kama chombo kinaendeshwa na mtu aliye nje ya serikali

Kwa maneno hayo hapo chini kuna kitu hakipo sawa mambo yanazidi kubadilika siku hadi siku tunapoelekea 2025[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2434531
Sio Warioba kweli?
 
Hujui subconscious mind inavyofanya.
Subconscious mind inaondoka na neno lililosemwa kwanza
.
Ni muhimu kuwasikiliza watangulizi

Siyo muhimu kufuata ushauri wao
Hapo subconscious mind imeelewa tu kwamba ni muhimu kuwasikiliza watangulinzi.
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania naona kashaanza kushituka juu ya wastaafu hasa wanaopenda kumpa ushauri ambao hauna afya katika kuendesha nchi kwa maneno hayo huenda alishaanza kuona yule mtu wa msoga anamsumbuasumbua maana ni miongoni mwa wastaafu wenye nguvu na ushawishi ndani ya ccm aliyebaki hata kwa wafanyabiashara pia ambao mfano mzuri ni Ristam azizi! kwa hali hii naona kuna kitu hakipo sawa sasa ni wakati raisi ajue yeye ndiye raisi asiwepo kama nembo tu ni vizuri asikilize watu wake na achuje yale wanayomshauri hii nikutokana kwamba tangu aingie madarakani ni kama chombo kinaendeshwa na mtu aliye nje ya serikali

Kwa maneno hayo hapo chini kuna kitu hakipo sawa mambo yanazidi kubadilika siku hadi siku tunapoelekea 2025[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2434531
Sidhani kama kauli hii inamlenga mzee wa msoga, kwa mtizamo wangu ni Kama ina mgusa Warioba

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa #SSH anazidi ku fit kwenye kiti chake.
Binafsi naungana naye kwa 100%
Yupo mtangulizi aliyewahi sema nanukuu "za kuambiwa changanya na zako"
 
IMG_20221203_165057_160.jpg
 
Ameanza kujiamini eeh! Atembee kwa uangalifu lakini, hao watangulizi wana nguvu ya bara ambayo ndio inampa uraisi. Asipoangalia wanaweza kuridhia Chadema ichukue nchi kuliko yeye aendelee kuwa raisi

Msoga alimpa Mkapa kavukavu, msiponiteua kuwa mgombea wa CCM basi naenda kugombea Chadema, na tutashinda. Sasa kama unataka CCM ifie mikononi mwako weka mgombea wako ambae taarifa ya TISS zinasema yeye hana madhambi.

Mkapa akatupilia mbali ripoti za TISS
Alijiamini coz alijua walionyuma yake ni wale jamaa wa nyuma ya pazia!

Alifanya KWA kiasi chake,na Sasa ni zamu ya WENGINE kufanya!

Mungu ibariki Tanzania
 
JPM na Sak

Acha hoja mufilisi ' the dead has no tale to tell' ,JPM keshapumzika na Rais Dkt.Samia amezungumzia mazingira ya sasa.
Hana haki ya kupumzika hata kama ametangulia hatumuachi. The sad thing we have to sit down on the negotiation table with the devil so that he can be extradited back to earrth to face charges of all attrocities he commited against Tanzania From rape, murder, infedility, extortion, arson, homicide, genocide, theft, robbery, banditry, gossiping, backbiting, prejudice, tribalism,terrorism, corruption... name them.

Hatumuachi!

Magonjwa Mtambuka
 
Kuna misukule ya jiwe imebaki kila siku unamlaumu kwa kutokufuata upuuzi wa jiwe
 
Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni muhimu kuwa mnyenyekevu ikiwemo kuwasikiliza watu zaidi na kuzungumza kidogo.

Rais Samia kasema ni muhimu kuwasikiliza hata wale wanaodhaniwa ni wapumbavu kwasababu wanaweza kuwa na kitu cha msingi cha kujifunza kutoka kwao. Pia kuelewa jamii yako unayotaka kuwasiliana nao.

Ushauri wa mwisho Rais Samia amesema ni muhimu kujifunza kutoka kwa watangulizi, wale ambao wanafahamu taasisi unayoifanyia kazi kwani wapo wazoefu, watangulizi ambao wamekuwa kwenye ofisi husika kwa muda mrefu, Rais Samia amewataka viongozi kuwasikiliza lakini wasilazimike kufata matakwa yao bali watafute njia yao na muelekeo wao.

Pia Rais Samia ametaka viongozi hao kutolazimisha watu, wasiwe na udikteta bali washirikishe watu, wasiagize watu wakafanye vitu bali wawe na mbinu shirikishi. Amesema wakiwa na udikteta safari yao itakuwa fupi na wahakikishe nafasi walinayo wanayo kwa muda mrefu sio mfupi kwani kuna wakati watakuwa wanajaribiwa.

Kongamano la wanawake viongozi vijana Afrika
Zanzibar
03/12/2022

View attachment 2434304
Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa kuigwa ukifatilia hotuba zake vizuri utagundua kwamba Tanzania iko mikono salama
 
Sawa, lakini sisi kama chadema, hatutakubali usaliti wa Zitto kwa mabadiliko ya nchi hii, kwanini anapanga kugombea urais ili apunguze kura za Lissu? 😒
Akae kwanza kwa kutulia mpaka 2030 maana Dr Samia Suluhu tupo nae mpaka 2030
 
Toka lini kaacha kufuata ushauri wa msoga geng?kama hafuati ushauri wa msoga gang kwa nini Nchi inazidi kudidimia kila siku kiuchumi,kisiasa na kijamii?
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania naona kashaanza kushituka juu ya wastaafu hasa wanaopenda kumpa ushauri ambao hauna afya katika kuendesha nchi kwa maneno hayo huenda alishaanza kuona yule mtu wa msoga anamsumbuasumbua maana ni miongoni mwa wastaafu wenye nguvu na ushawishi ndani ya ccm aliyebaki hata kwa wafanyabiashara pia ambao mfano mzuri ni Ristam azizi! kwa hali hii naona kuna kitu hakipo sawa sasa ni wakati raisi ajue yeye ndiye raisi asiwepo kama nembo tu ni vizuri asikilize watu wake na achuje yale wanayomshauri hii nikutokana kwamba tangu aingie madarakani ni kama chombo kinaendeshwa na mtu aliye nje ya serikali

Kwa maneno hayo hapo chini kuna kitu hakipo sawa mambo yanazidi kubadilika siku hadi siku tunapoelekea 2025[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2434531
kama anaweza akasikiliza ushauri wa mtu kama Nape au Makamba...basi we have to brace ourselves
 
Hana haki ya kupumzika hata kama ametangulia hatumuachi. The sad thing we have to sit down on the negotiation table with the devil so that he can be extradited back to earrth to face charges of all attrocities he commited against Tanzania From rape, murder, infedility, extortion, arson, homicide, genocide, theft, robbery, banditry, gossiping, backbiting, prejudice, tribalism,terrorism, corruption... name them.

Hatumuachi!

Magonjwa Mtambuka
Umuache usimuache, kazi unayojipa ni ya kipumbavu Kwa sababu yeye hatoi ushauri Kwa Rais sasa!

Unataka kumaanisha kwamba, JPM amekuwa akitoa ushauri Kwa Rais ktk mazingira yepi na wakati yeye hayuko duniani?
 
Back
Top Bottom