Rais Samia ashiriki mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika, leo Oktoba 23, 2023 jijini Arusha

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika leo tarehe 23 Oktoba, 2023 jijini Arusha.


View: https://www.youtube.com/live/gOdQrZvdJlU?si=fUnyYXmTXBTiovDh

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu zawadi ya picha ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Namibia Mhe. Peter Shivute

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF) pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Mwaka wa Majaji hao katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha Oktoba 23, 2023.
Kikundi cha ngoma za Asili kikitumbuiza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.
 
PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) uliofanyika Mkoani Arusha leo October 23,2023.

Mkutano huo umehusisha Majaji Wakuu wa Nchi wanachama wa jukwaa hilo ikiwemo Kenya,Uganda,Namibia, Zimbabwe,Eswatini, Msumbiji,Seychelles, Botswana,Angola, Zanzibar, Malawi, Lesotho, Mauritius, Zambia na Afrika ya Kusini.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…