Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023.

F-YRDLMXgAAY8aZ.jpeg

===
IMG_8994.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco

IMG_8995.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh, nchini Morocco
 
Hiyo mikutano huwa haina tija yoyote, ipo tu miaka yote. Ni mikutano ya kulia Kodi za wananchi lakini huwa ina tija ndogo sana.
Unajua ni miradi mingapi inafadhiliwa na AfDB hapa nchini au umejiandikia tu?
 
Huyu mpaka anamaliza atakuwa amefika visiwa vya Fiji ,Tonga, Vanuatu n.k...
kwa rate hii ranaweza kuwekwa kwenye Guinness record kwa Rais alyesafiri nchi nyingi dunia.....yaani ni mwendo wa kutengua, hafla na kukwea pipa
 
Hiyo mikutano huwa haina tija yoyote, ipo tu miaka yote. Ni mikutano ya kulia Kodi za wananchi lakini huwa ina tija ndogo sana.
Ila ya Chadema inayotumia kodi za ruzuku za walipa kodi ndio huwa ina tija?
 
Msiwape cdm hiyo ruzuku.
Shiiiiiiiiii ongea taratibu kwa kunong'ona wasikusikie akina Mbowe, Tundu Lissu na Mnyika wala hizo ruzuku ongea kwa kunong'ona wasikusikie tafadhali
 
Ila ya Chadema inayotumia kodi za ruzuku za walipa kodi ndio huwa ina tija?

Ruzuku shilingi ngapi?. Acha kufananisha matumizi ya maana ya CHADEMA na wizi wa serikali ya CCM. Wabunge wanalia halafu wewe unaleta vistori vya Lumumba.
 
Shiiiiiiiiii ongea taratibu kwa kunong'ona wasikusikie akina Mbowe, Tundu Lissu na Mnyika wala hizo ruzuku ongea kwa kunong'ona wasikusikie tafadhali

Wewe kumbe hujui unachoongea. Unadhani Ruzuku inawekwa kwenye akaunti ya mtu binafsi? Unahitaji shule.
 
Back
Top Bottom