Atamshinda Vasco da Gama!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atamshinda Vasco da Gama!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023...
Wakurupukaji hawakosagi mkuu..Unajua ni miradi mingapi inafadhiliwa na AfDB hapa nchini au umejiandikia tu?
Najua inapelekwa akaunti ya chama lakini tuje waindhinishaji ni akina nani hata kama hawasaini malipo ? Utakuta kuna wale wale wa kule kaskazini kwa Mbowe majina Ya kichaga ,nk lakini yasome kaskazini ya nchi halafu wanufaika keki kubwa ya ruzuku vingozi wa juu Chadema akina Mbowe Lisu Mnyika nk yote danganya toto jinga tu mwisho wa siku pesa yote inatua kwao kuibomoaWewe kumbe hujui unachoongea. Unadhani Ruzuku inawekwa kwenye akaunti ya mtu binafsi? Unahitaji shule.
mama yako yuko nyumbani, Samia Suluhu Hassan ni rais na mkuu wa nchi, na ule ni mkutano wa wakuu wa nchi, kuna mkuu wa nchi mwingine nchi hii? Au ulitakaje? Tumia akili usitumie makalio!Ila mama yangu anatembea jamani dah! Hadi raha
Naaam! Mambo ni mengi kichwani.Sawasawa, nadhani ulimaanisha lililofanyika Qatar