Hiyo mikutano huwa haina tija yoyote, ipo tu miaka yote. Ni mikutano ya kulia Kodi za wananchi lakini huwa ina tija ndogo sana.Msikilize kama Kizungu kinapanda
Jamaa anaona walikwaji na waalikwa wote ni machiziUnajua ni miradi mingapi inafadhiliwa na AfDB hapa nchini au umejiandikia tu?
Kwahiyo huo ni mkutano wa AFDB?Unajua ni miradi mingapi inafadhiliwa na AfDB hapa nchini au umejiandikia tu?
Nilimaanisha Kombe la Dunia liliofanyoka Dubai chifu.Kombe la Dubai ni nini?
Ila ya Chadema inayotumia kodi za ruzuku za walipa kodi ndio huwa ina tija?Hiyo mikutano huwa haina tija yoyote, ipo tu miaka yote. Ni mikutano ya kulia Kodi za wananchi lakini huwa ina tija ndogo sana.
Msiwape cdm hiyo ruzuku.Ila ya Chadema inayotumia kodi za ruzuku za walipa kodi ndio huwa ina tija?
Shiiiiiiiiii ongea taratibu kwa kunong'ona wasikusikie akina Mbowe, Tundu Lissu na Mnyika wala hizo ruzuku ongea kwa kunong'ona wasikusikie tafadhaliMsiwape cdm hiyo ruzuku.
Ni shilingi ngapi ruzuku yenyewe boss. Au unaona ni bonge pesa Nini?Shiiiiiiiiii ongea taratibu kwa kunong'ona wasikusikie akina Mbowe, Tundu Lissu na Mnyika wala hizo ruzuku ongea kwa kunong'ona wasikusikie tafadhali
Ila ya Chadema inayotumia kodi za ruzuku za walipa kodi ndio huwa ina tija?
Shiiiiiiiiii ongea taratibu kwa kunong'ona wasikusikie akina Mbowe, Tundu Lissu na Mnyika wala hizo ruzuku ongea kwa kunong'ona wasikusikie tafadhali