Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023...
Najua inapelekwa akaunti ya chama lakini tuje waindhinishaji ni akina nani hata kama hawasaini malipo ? Utakuta kuna wale wale wa kule kaskazini kwa Mbowe majina Ya kichaga ,nk lakini yasome kaskazini ya nchi halafu wanufaika keki kubwa ya ruzuku vingozi wa juu Chadema akina Mbowe Lisu Mnyika nk yote danganya toto jinga tu mwisho wa siku pesa yote inatua kwao kuibomoa
mama yako yuko nyumbani, Samia Suluhu Hassan ni rais na mkuu wa nchi, na ule ni mkutano wa wakuu wa nchi, kuna mkuu wa nchi mwingine nchi hii? Au ulitakaje? Tumia akili usitumie makalio!