Basi waliosoma hiyo political science wakaja na hili ni vilaza kupata kutokea.Hiyo ni kazi ya political Science! Kila ulichofikiria kishafikiriwa na kufanyiwa udadavuzi yakinifu na majubu.....yalikuwa ni kuhudhuria hiyo Event!
Mbona ww sikuoni tia sura hapoππtia selfie nione miguu ya mamaDogo niko live situmii sabufa ohh umesahau mke wa nani mimi?? πππ
Najaribu kuwaza, Rais Biden akishiriki uzinduzi wa album ya Eminem, au fifty cents!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City.
View: https://www.youtube.com/live/PafgRqkHmNo?si=oHJtx2WgTWFmEp9k
Hukosagi maneno, hahaMitambo sijui mibovu harmo sauti inatoka km kakabwa na mwiba wa samaki π€£π€£π€£
*SeboSeba katoa speech nzuri sana, nimeikubali.
π€£π€£π€£π€£ Huo sasa umbea!Mbona ww sikuoni tia sura hapoππtia selfie nione miguu ya mama
NB: npo naangalia fainali ya club bingwa
Kesho leo nimelewa naweza kukutukana πππNifungulie kule, nataka nikunongoneze kitu πππ
Alikimbia kuongea nawafanyakazi meimosi ameibukia huku sawa mama! Tukutane 2025Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City.
View: https://www.youtube.com/live/PafgRqkHmNo?si=oHJtx2WgTWFmEp9k
πππna kweli maana ukiniita kibuyu tutagombana mwananguKesho leo nimelewa naweza kukutukana πππ
Mara nyingi hapa JF, mtu kushindwa kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili huendana na hoja dhaifu. Ukishakuwa rais hufuati utashi wako kwa kila jambo. Ndiyo maana hiyo nafasi inatakiwa ishikwe na watu wenye upeo wa kuona mambo. Upeo wa huyu mama ni mdogo kabisa ndiyo maana muda wote anajikita kwenye kufanya mambo ya madogo madogo namna hii.Mimi naona ni kawaida maana hata wewe UNAWEZA ukawa RAISI na haikuondolei ""UTASHI AU KUA WEWE""
Haijawai kutokea tangu tumepata Uhuru kupata RAISI aka udhuria uzinduzi wa albamu ya msanii wa music
Kwa music industry Ni Jambo jema mama kuhudhuria Ni bonge la support