ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ww ni lichawa flani! ungekuwa karibu yangu ama ningekupiga fimbo za miti ya matakoniMimi binafsi nimeshuhudia uraisi wa Marais kadhaa except nyerere ambae nimemsoma..
Mzee wa ruksa lawama zilikua nyingi Sana anaongoza nchi kwa kushauriwa na mkewe Mara ivi Mara vile..
Benjamin lawama zikawa nyingi Mara mbabe , ubinafsishaji Mara kujimilikisha kiwira lawama zikawa nyingi sanaaa
Jakaya alitukanwa Sana oohh dhaifu mara raisi wa KUCHEKA CHEKA mara anasafir safir sanaa Mara ana fisadi nchi lawama Kama zotee
Lawama Ni nyingi mno.. the late magufuli alitukanwa Sana na kupewa majina yote mabaya mfano mshamba, dicteta uchwara e.t.c hajafanya lolote mzilankende wa watu akasema ipo siku tutamkumbuka Tena kwa uzuri..na tumemkumbuka sasa
Kwa bahati mbaya mwenyezi mungu akamchukua ametupa mama Samia lawama Ni zile zile
au kibao cha puani kumbaf