Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Mimi binafsi nimeshuhudia uraisi wa Marais kadhaa except nyerere ambae nimemsoma..

Mzee wa ruksa lawama zilikua nyingi Sana anaongoza nchi kwa kushauriwa na mkewe Mara ivi Mara vile..

Benjamin lawama zikawa nyingi Mara mbabe , ubinafsishaji Mara kujimilikisha kiwira lawama zikawa nyingi sanaaa

Jakaya alitukanwa Sana oohh dhaifu mara raisi wa KUCHEKA CHEKA mara anasafir safir sanaa Mara ana fisadi nchi lawama Kama zotee

Lawama Ni nyingi mno.. the late magufuli alitukanwa Sana na kupewa majina yote mabaya mfano mshamba, dicteta uchwara e.t.c hajafanya lolote mzilankende wa watu akasema ipo siku tutamkumbuka Tena kwa uzuri..na tumemkumbuka sasa

Kwa bahati mbaya mwenyezi mungu akamchukua ametupa mama Samia lawama Ni zile zile
Ww ni lichawa flani! ungekuwa karibu yangu ama ningekupiga fimbo za miti ya matakoni
au kibao cha puani kumbaf
 
Hakuna rais ambaye hajahudhuria hizi social gatherings
kwa kuwa ni raisi tena asiruhusiwe hata kwenye kisherehe cha kienyeji. Mzee Mwinyi, Salim Ahmed walikuwua hawakosi taarab wakifika Zanzibar (enzi zile hakukuwa na mitandao), Mkapa sijui labda nyimbo za kanisani akihudhuria, lakini Jk tulishamuona akisakata densi kabisa. Huyu aliyepita sijui alikuwa anapenda nini yeye
 
Ni Kweli kabisa

Ni vijana wapuuzi wasioelewa hata historia na culture zetu wanaotaka kila kitu kiwe kibaya tu
 
Na we unatetea nini?
Kapiga hatua gani zaidi ya kuendeleza vilivyoachwa??
Huu upopoma mtaacha lini waswahili!?
Ujinga anaofanya unaakisi maendeleo yanaotakikanika!?
Embu compare and contrast.
Pia jitahidi uwe na akili kidogo.
Wewe ndiyo HAMMAZO. Ulitaka Samia aanzishe miradi yake wakati Magufuli alianzisha miradi mingi na haikuwa imevuka hata 35%.

Kichwa chako kimejaa kamasi tu
 
Acha ujinga ww. Huyu utamlinganisha na huyo!?
Huyu mlala kwenye mawe na mla mapapai barabarani? Acheni bana, tulikosewa sana kutawaliwa na huyu HAYAWANI
Screenshot_20240526_112710_Google.jpg
 
Ingekuwa tunajua kupima vizuri nani anastahili kufanya kazi gani na kumuallocate humo tungeweza kusonga mbali!!!
Rais anataka asafiri na wasanii kisa wamemsifu na kumbust apate cheo!!
Tunaviongozi waajaabu saana saaana
 
Kila saa ni muhimu sana kwa kiongozi wa Taifa.

Hayo masaa mawili angeitisha kikao na ATCL awaulize kwanini wanapata hasara na uendeshaji wao unasuasua kila siku?
Kwanini Fast jet walikuwa na ndege chache waliweza kufanya operation zao kwa ufanisi kuanzisha safari za ndani na nje?
Kwanini mabei yao ni makubwa na wenzao walikuwa na bei chee na ndege chache na bado walipasua anga.
 
Kila saa ni muhimu sana kwa kiongozi wa Taifa.

Hayo masaa mawili angefanya tathmini ya nini kifanyike UDART iweze kuwa na ufanisi ili kero ya usafiri kwa watu wa Dar es salaam iweze kuisha.

Masaa mawili ya majadiliano yanaweza kabisa kuleta SULUHU ya muda mfupi kuondoa kero ya usafiri Dar es salaam huku tukitafuta nini cha kufanya.

mfano: Masaa mawili yangetoa maamuzi ya kuwapa kazi wenye uwezo wa kuleta coaster mayai hata 100 kila route kurescue situation kwa contract maalum ya miezi sita wakitumia Barabara ya mwendo kasi undersupervision ya UDART.
 
Kila saa ni muhimu sana kwa kiongozi wa Taifa.

Hayo masaa mawili angeitisha kikao na ATCL awaulize kwanini wanapata hasara na uendeshaji wao unasuasua kila siku?
Kwanini Fast jet walikuwa na ndege chache waliweza kufanya operation zao kwa ufanisi kuanzisha safari za ndani na nje?
Kwanini mabei yao ni makubwa na wenzao walikuwa na bei chee na ndege chache na bado walipasua anga.
Wana hangaika ma wasanii tu

Tanzania naona wasanii changamoto zao ndiyo kipaumbele namba moja
😄

Ova
 
Huyu mlala kwenye mawe na mla mapapai barabarani? Acheni bana, tulikosewa sana kutawaliwa na huyu HAYAWANIView attachment 2999803
Alikukosea kwa kuanza kujenga game changer Stieggler zaidi ya 2000MW.
Alikukosea kwa kuifufua ATCL na kuwanunuli midege ambayo leo tunazurula nayo Tu angani makada wa chama.
Alikukosea kujenga SGR Dar-Moro- dom-Shy - Mwz.
Alikukosea kwa kujenga 6 x lane Dar to Kibaha.
Alikukosea kwa kujenga Daraja pale Busisi kuunganisha Mwanza, Geita to Bukoba Kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom