Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
Mkuu huyu siro na vibaraka wake walitakiwa mapema tu wapigwe chini
 
As if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.

Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!😄🤦🏾‍♂️

Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.

“There must be somewhere where the line is drawn”
Wewe ungeweza kumshauri Magu? Au umesahau alivyosema kuwa ukimshauri ndio umeharibu kabisa?
 
Mropokaji tu mama ni mtu wa kumwambiwa vitu na kurudia bila ya kuuliza mantiki yake ndio maana ata kwenye teuzi wanampachikia majina.

Juzi tu hapa waziri Makamba na Mkrugenzi wa TPDC kwa nyakati tofauti wameelezea economic risk ya storage capacity ya mafuta ambayo at given moment ni ya siku 15 tu kwa sasa, wakati ushauri wa IEA ni siku 60-90. Na moja ya ziara ya waziri ilikuwa kushauri watu waongeze storage capacity.

Sio tu kwamba storage ya siku 15 ina athari ya kiusalama bali inapunguza ‘lead time’ ya price hike kutokana less stored inventroy. Maana yake nini bei ya mafuta duniani ikipanda na Tanzania inakuwa aina muda sana inabidi ipande.

Bado ujazungumzia disadvantages wanazopata wanunuzi kuweza ku bargain long term prices na wazalishaji kwa mfumo wetu wa monthly tender.

Meli zama za Magufuli wajenzi kwa asilimia kubwa walikuwa makampuni ya kizawa na wakorea. Hao waturuki wamekuja katika serikali yake; busara 2025 asigombee tu, she is so gullible.
 
Nikweli, wateule wengi wa Magufuli walikuwa mafisadi wa kutisha, na wanastahili wachunguzwe huo utajiri wao wa kutisha wameutoa wapi?
Sasa kama ndivyo si wapelekwe tu anamuogopa nani kisha alalamike?
Huo ndo.mwanzo wa kuwalinda hao wahalifu.
 
Rais Samia ameelezea tatizo na hatua alizochukua.
Kuhusu katiba mpya ,Kenya kuna katiba mpya lakini Rais Kenyatta na Makamu wake wanaparurana wazi wazi.Kudhani kwamba katiba mpya ndio magic bullet ya matatizo ni kuwa naive.
Inawezekana alishauri ushauri ukakataliwa.Who knows?
Kumpa Rais ultimatum ni kupoteza muda tu.
Kulaumu ni rahisi sana kuliko kuleta solutions.
Nilijua wanafanya mabaya kwa wananchi kumbe wao mwenyewe.
 
Actually, hii ni awamu ya 5 ambayo Rais wake alibadilika baada ya kifo cha aliyekuwepo. Kuiita awamu ya 6 ni utapeli mwingine tu.

Awamu inahesabiwa kwa Rais sio kwa kipindi cha uchaguzi. Rais akibadilika na awamu inabadilika
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Actually, hii ni awamu ya 5 ambayo Rais wake alibadilika baada ya kifo cha aliyekuwepo. Kuiita awamu ya 6 ni utapeli mwingine tu.
Ndivyo wengi tulikuwa tunaelewa, ila bosi anataka awe na awamu yake basi mambo yakabadilika ghafla na kuwa awamu wa sita lakini chini ya manifesto ile ile ya awamu ya tano. Kukatokea wanasheria uchwala wa TLS na kumwambia kuwa avunje baraza lote la mawaziri aunde jipya kama vile ameingia madarakani baada ya uchaguzi, naye akakubali, ilhali yeye kikatiba alikuwa ni mbadala wa raisi aliyefariki, siyo kuwa alikuwa ni rais mpya.
 
As if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.

Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!😄🤦🏾‍♂️

Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.

“There must be somewhere where the line is drawn”
Makamu wa Rais hana nguvu yoyote ya kumpinga Rais. Anachoweza kufanya ni kumshauri rais. Bahati mbaya jiwe lenyewe lilisemaa ukilishauli ndio unaharibu mitambo. Wewe liache tu lipuyange
 
Acha kuongea nonsense mkuu, kama walikuwa hawasikilizwi siwangejiuzulu kwa maslahi mapana ya nchi. Hakuna namna ya kukwepa lawama hapa.
Haukuwepo serikalini hivyo acha kuwatwisha mzigo wa lawama pasipo kujua mazingira yao ya kazi yalikuwa vipi.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Makamu wa Rais hana nguvu yoyote ya kumpinga Rais. Anachoweza kufanya ni kumshauri rais. Bahati mbaya jiwe lenyewe lilisemaa ukilishauli ndio unaharibu mitambo. Wewe liache tu lipuyange
Yah ile kauli imemrahisishia sana kazi Mama Samia ya kueleweka mbele ya watu kila akiiongelea awamu ya tano.
 
Anaweza kujiita vyovyote - awamu ya 6, 10, 8 nk. Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli kwamba alipigiwa kura na Magufuli wakiwa wagombea wa awamu ya 5 na wala siyo ya 6. Na tangu wakati huo, hakujawa na upigaji kura mwingine. Na yote aliyoyafanya Magufuli, yanamhusu Samia akiwa km Makamu wa Rais wa wakati huo.
Ndivyo wengi tulikuwa tunaelewa, ila bosi anataka awe na awamu yake basi mambo yakabadilika ghafla na kuwa awamu wa sita lakini chini ya manifesto ile ile ya awamu ya tano. Kukatokea wanasheria uchwala wa TLS na kumwambia kuwa avunje baraza lote la mawaziri aunde jipya kama vile ameaingia madarakani baada ya uchguzi, naye akakubali, ilhali yeye kikatiba alikuwa ni mbadala wa raisi aliyefariki, siyo kuwa alikuwa ni rais mpya.
 
Hizo za CCM sasa. Za kwetu wananchi, tunazipigia kura japo Mahera na Kaijage hawaheshimu kura zetu.
Awamu inahesabiwa kwa Rais sio kwa kipindi cha uchaguzi. Rais akibadilika na awamu inabadilika
 
Khaa acha visa wewe si ulikua awamu ya tano tena nafasi ya pili kutoka juu?! Uwoni mpaka hapo ushafeli?’! Hizo lawama za awamu ya tano wewe unaziepuka Vipi ?!
Unajua majukumu ya VP? Rejea katiba uone
 
As if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.

Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!😄🤦🏾‍♂️

Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.

“There must be somewhere where the line is drawn”
Alisikika bwana mmoja aitwaye Jiwe akisema "mimi sishauriki na ukilazimisha kunishauri ndio nitaharibu kabisa"
 
Mapenzi yanawapofusha. Yeye alikwisha ambia Taifa kuwa ni kitu kimoja na Magufuli. Wewe chawa hautaki!!?? Kama alikuwa hakubaliani na Magufuli, alifanyaje kazi naye kwa zaidi ya miaka 5? Kama ana akili za kumtosha alitakiwa ajiuzuru.
Unajua majukumu ya VP? Rejea katiba uone
 
Ha
Samia ameshafanya maamuzi sasa ngoja tuone au ngoja tulole kwa kilugha chetu.
Hamna kitu hapo,
Kama ameshindwa kupeleka muhujumu uchumi wa mafuta kigamboni unadhani ataweza nini?
Kuna watu walijilipa posho mabilioni kwa siku na waziri mkuu akalalamika lakini hakuna jipya uandhani ataweza?
Yeye anachoweza ni wale asiokuwa nao upande mmoja kama mbowe na sabaya.
 
Mkataba wenyewe ulitiwa saini mbele ya Hangaya!
Hiiiiiii Baghosha.
 
Back
Top Bottom