Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Mkuu huyu siro na vibaraka wake walitakiwa mapema tu wapigwe chiniAlishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
Wewe ungeweza kumshauri Magu? Au umesahau alivyosema kuwa ukimshauri ndio umeharibu kabisa?As if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.
Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!😄🤦🏾♂️
Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.
“There must be somewhere where the line is drawn”
Sasa kama ndivyo si wapelekwe tu anamuogopa nani kisha alalamike?Nikweli, wateule wengi wa Magufuli walikuwa mafisadi wa kutisha, na wanastahili wachunguzwe huo utajiri wao wa kutisha wameutoa wapi?
Nilijua wanafanya mabaya kwa wananchi kumbe wao mwenyewe.Rais Samia ameelezea tatizo na hatua alizochukua.
Kuhusu katiba mpya ,Kenya kuna katiba mpya lakini Rais Kenyatta na Makamu wake wanaparurana wazi wazi.Kudhani kwamba katiba mpya ndio magic bullet ya matatizo ni kuwa naive.
Inawezekana alishauri ushauri ukakataliwa.Who knows?
Kumpa Rais ultimatum ni kupoteza muda tu.
Kulaumu ni rahisi sana kuliko kuleta solutions.
Actually, hii ni awamu ya 5 ambayo Rais wake alibadilika baada ya kifo cha aliyekuwepo. Kuiita awamu ya 6 ni utapeli mwingine tu.
Samia ameshafanya maamuzi sasa ngoja tuone au ngoja tulole kwa kilugha chetu.Sasa kama ndivyo si wapelekwe tu anamuogopa nani kisha alalamike?
Huo ndo.mwanzo wa kuwalinda hao wahalifu.
Ndivyo wengi tulikuwa tunaelewa, ila bosi anataka awe na awamu yake basi mambo yakabadilika ghafla na kuwa awamu wa sita lakini chini ya manifesto ile ile ya awamu ya tano. Kukatokea wanasheria uchwala wa TLS na kumwambia kuwa avunje baraza lote la mawaziri aunde jipya kama vile ameingia madarakani baada ya uchaguzi, naye akakubali, ilhali yeye kikatiba alikuwa ni mbadala wa raisi aliyefariki, siyo kuwa alikuwa ni rais mpya.Actually, hii ni awamu ya 5 ambayo Rais wake alibadilika baada ya kifo cha aliyekuwepo. Kuiita awamu ya 6 ni utapeli mwingine tu.
Makamu wa Rais hana nguvu yoyote ya kumpinga Rais. Anachoweza kufanya ni kumshauri rais. Bahati mbaya jiwe lenyewe lilisemaa ukilishauli ndio unaharibu mitambo. Wewe liache tu lipuyangeAs if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.
Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!😄🤦🏾♂️
Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.
“There must be somewhere where the line is drawn”
Haukuwepo serikalini hivyo acha kuwatwisha mzigo wa lawama pasipo kujua mazingira yao ya kazi yalikuwa vipi.Acha kuongea nonsense mkuu, kama walikuwa hawasikilizwi siwangejiuzulu kwa maslahi mapana ya nchi. Hakuna namna ya kukwepa lawama hapa.
Yah ile kauli imemrahisishia sana kazi Mama Samia ya kueleweka mbele ya watu kila akiiongelea awamu ya tano.Makamu wa Rais hana nguvu yoyote ya kumpinga Rais. Anachoweza kufanya ni kumshauri rais. Bahati mbaya jiwe lenyewe lilisemaa ukilishauli ndio unaharibu mitambo. Wewe liache tu lipuyange
Ndivyo wengi tulikuwa tunaelewa, ila bosi anataka awe na awamu yake basi mambo yakabadilika ghafla na kuwa awamu wa sita lakini chini ya manifesto ile ile ya awamu ya tano. Kukatokea wanasheria uchwala wa TLS na kumwambia kuwa avunje baraza lote la mawaziri aunde jipya kama vile ameaingia madarakani baada ya uchguzi, naye akakubali, ilhali yeye kikatiba alikuwa ni mbadala wa raisi aliyefariki, siyo kuwa alikuwa ni rais mpya.
Awamu inahesabiwa kwa Rais sio kwa kipindi cha uchaguzi. Rais akibadilika na awamu inabadilika
Unajua majukumu ya VP? Rejea katiba uoneKhaa acha visa wewe si ulikua awamu ya tano tena nafasi ya pili kutoka juu?! Uwoni mpaka hapo ushafeli?’! Hizo lawama za awamu ya tano wewe unaziepuka Vipi ?!
Alisikika bwana mmoja aitwaye Jiwe akisema "mimi sishauriki na ukilazimisha kunishauri ndio nitaharibu kabisa"As if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.
Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!😄🤦🏾♂️
Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.
“There must be somewhere where the line is drawn”
Unajua majukumu ya VP? Rejea katiba uone
Hamna kitu hapo,Samia ameshafanya maamuzi sasa ngoja tuone au ngoja tulole kwa kilugha chetu.