Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

La kweli wa Kigamboni hata kukamatwa hakuna?
Hangaya naona Kama anacheza movie za kihindi.
 
Sasa kama Katiba ya zamani inataka mshauri namba moja lakini mshauriwa alisema ukimshauri ndio umeharibu kabisa. Katiba mpya bila watu weledi ina maana gani hapo? Katiba mpya haitaondoa watu wa hovyo. Katiba mpya haitaondoa maprofesa wa Jalalani waliotuambia uchaguzi ulikuwa huru na wa haki ila leo watu haohao wanatuambia haukuwa huru wala wa haki. Kweli Katiba mpya tunataka lakini tunao hata hao watu wa kutuletea hiyo Katiba mpya?
 
Hii bado ni awamu ya tano hakuna uchaguzi wa wa bunge na madiwani pamoja na raisi ulifanyika hadi iitwe awamu ya sita kwa hiyo viongozi ni walewale ila kilichobadilika ni kitu kimoja jpm alikuwa na njia yake katika kuongoza na kanuni zake na huyu ana njia zake na kanuni zake ndiyo maana kwa sasa machinga analipa tsh 20000/= kila mwezi lakini kipindi kile alikuwa analipa kwa mwaka mzima, tozo; umeme kukatika katika
 
Rais Samia ashtukia upigaji wa mabilioni ya fedha

Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha???

2. Mkataba wa ujenzi wa meli tano, kampuni ya YUTEK iliyoshinda zabuni ambayo inatoka Uturuki baada ya kuchunguzwa ikabainika haina sifa wala haijawahi kujenga meli ila ni kampuni ya kidalali....

3. Amevunja bodi zote 2; kampuni ya huduma za meli na TPA

4. Ameapa kulinda maslahi ya Nchi na haki za wananchi kwa kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa weledi na thamani ya fedha huku akihakikisha hakuna hata senti itakayopotea.

SITOKUBALI JUMBA BOVU LIANGUSHIWE AWAMU YA SITA WAKATI UFISADI ULITOKEA HUKO NYUMA

#mamayukokazini
#SamiaKazini
#KaziIendelee
 
Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
Serikali haiendeshwi Kama kamati ya Harusi ama Birthday

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuja kugundua kumbe yumkini nafasi ya makamu wa rais ni upotevu wa pesa tu kama mambo yenyewe ndiyo hayo. Mtu aliyekua makamu wa rais anapata kabisa audacity ya kusema hayo. Ni kama Joe Biden aanze kukosoa kwa nguvu zote sera za Barack Obama enzi wakiwa wote

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Unaulizwa hivi?
Uachane na hilo suala la kujiuzulu au upate ajali!!?
Nani atachagua kupata ajali!!??
 
Hapo ndo naonaga mambo ya tender ni ya kiohuni eti kumpata mkandarasi bora .juzi pia nimesikia PPRA naona wanataka tenda kwenye loti 3 na 4 ili kuokoa fefha za walipa kodi leo Lao ni yep wasipewe tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
Mkuu wew ni mvivu tu wa kufikiri mbowe ameshatakiwa na DPP wa samia yule wa magu alipigwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…