Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 5, 2021 #101 Safi sana...
samurai JF-Expert Member Joined Oct 16, 2010 Posts 11,495 Reaction score 24,223 Dec 5, 2021 #102 Hatua alizochukua hazitoshi....bado TPA itaendelea kuwa pango la wanyang'anyi...
N NewPage JF-Expert Member Joined Mar 22, 2021 Posts 1,321 Reaction score 2,106 Dec 5, 2021 #103 Kwenye Bodi nyingi unamkuta yule mama Jaine Nyimbo! Huyu ni moigaji kweli kweli - hata huko TPA yupo sasa sijui kwanini amekuwa akiwekwa wekwa sana palipo na upigaji! Mama hongera kumshtukia!
Kwenye Bodi nyingi unamkuta yule mama Jaine Nyimbo! Huyu ni moigaji kweli kweli - hata huko TPA yupo sasa sijui kwanini amekuwa akiwekwa wekwa sana palipo na upigaji! Mama hongera kumshtukia!
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Dec 5, 2021 #104 residentura said: Unaulizwa hivi? Uachane na hilo suala la kujiuzulu au upate ajali!!? Nani atachagua kupata ajali!!?? Click to expand... Hapo sasa!!! Au uwe kipofu Kama Abdul Jumbe na Salmin Amour. Watu wanachukulia haya mambo kirahisi sana
residentura said: Unaulizwa hivi? Uachane na hilo suala la kujiuzulu au upate ajali!!? Nani atachagua kupata ajali!!?? Click to expand... Hapo sasa!!! Au uwe kipofu Kama Abdul Jumbe na Salmin Amour. Watu wanachukulia haya mambo kirahisi sana
R Rogojin The Idiot JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 2,969 Reaction score 3,392 Dec 6, 2021 #105 zithromax said: Watapataje pesa sasa lazima wanzishe vimiradi vya hapa na pale .kumbuka walikuwa na njaa balaa kwa kipindi chote cha magu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ujasiriamali kwenye ofisi za umma ni wizi. Hakuna haki wala uhalali wa udalali wa kazi za umma. Waje huku mtaani ndio waseme ni wajasiriamali
zithromax said: Watapataje pesa sasa lazima wanzishe vimiradi vya hapa na pale .kumbuka walikuwa na njaa balaa kwa kipindi chote cha magu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ujasiriamali kwenye ofisi za umma ni wizi. Hakuna haki wala uhalali wa udalali wa kazi za umma. Waje huku mtaani ndio waseme ni wajasiriamali