Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
Ni kawaida yetu lakini.Naona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.
Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?
Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Tunanunua sukari Uganda na ARVs aibu Tanzania
Kwa nini mikono mu kichwa mkuu? Wewe ni moja ya manabii wangu humu jf.Wenye kuwa na uwezo wa jicho l a tatu mikono kichwani wpiga makofi viJembe. Watanzania tujiandae kiSaikoloji
Aibu tunaubatizo wa uzoba zobaDuh mbona mikataba yote anayenufaika ni uganda!!
Kwanza kapata soko la Arv zake, pili kapata soko la sukari yake, maana yake tunampelekea hela, na tatu tumempunguzia ushuru sasa atalipa kodi ndogo zaidi. Ukisikia kupigwa ndio huku.
Kwaiyo sisi hatuna tunachomuuzia uganda?
Sisi kwa minajili hii tupo crippled mfano tunashida ya bei ya sukari na upungufu, pia hatuna capacity ya ARVs production au Uganda wanazo in excess kwa hip m7 kamuwin Samia, Pia Samia kawin partly market share ya Kenya kwa Uganda ametradeoff mileage prices or costs apate ongezeko la traffic ya Tanzania to Uganda, punguzo La mileage cost in return tunapata revenue unit kiasi gani, I think here M7 has cornered Samia kwa kumuwin kiakili kwenye negotiations, sidhani kama ilikuwa pre arranged hizo MoU, mhh...mhh..mhh...kula uliweNaona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.
Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?
Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Sasa kama viwanda havikidhi mahitaji tufanyeje? tuache kuagiza huko nje?Kama ana mipango mizuri aachane na masuala ya kuagiza vitu Kama sukari. Wezesha viwanda vya hapa, bakhresa kafungua kiwanda bagamoyo. Serikali inapaswa kumpa support 100% ili azalishe zaidi na zaidi na sisi tuuze huko nje
Hakuna nchi inayojitosheleza kwa kila kitu, hata china nao wanaimportation kibao.Kwa hiyo Uganda wanaweza kutengeneza dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ila sisi hatuwezi.?
Kingine tujiulize kwanini Uganda ana ziada ya sukari kuuza nje ya nchi sisi tunashindwa nini?
R.I.P Magufuli sijui Azam ameishia wapa na mpango wake wa kuzalisha sukari nchini.
Mwisho naona mhitasari wa mazungumzo faida ni kwa Uganda tu, Sijaona Tanzania itakavyofaidika.
Umeme wa mkoa wa kagera unatoka Uganda lkn haimaanishi kuwa wao wanajitosheleza hapana, ukiwa kampala kukatka kwa umeme ni jambo la kila siku nafuu ya Dar.Tunanunua Umeme kutoka Uganda? Wanazalisha kiasi gani wao kwa siku? Wamejitosheleza?
Kwahiyo sukari inaingilia Uganda kuja Bara baada ya mwamba kuzuia kuingizia sukari Zenji kuja Bara sio!
Kila la kheri GENGE, waliwapenda, wanawapenda kwakuwa mnawakung'utia vumbi lenu
Uwezo wa kuzalisha kwa makaratasi tunao lakini practically talking shop.Ni aibu kwenda kununua Uganda ikiwa uwezo wa kuzalisha tunao.
Hata sukari uwezo wa kuzalisha tunao
Kuna vitu vya kuagiza nje Ila sio kwa vitu Kama hivyo.
Kuna siku hata unga wa ugali tutaagiza nje
Bagamoyo Sugar ya Bahressa inaanza kuzalisha sukari mwezi August 2022.Kwa hiyo Uganda wanaweza kutengeneza dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ila sisi hatuwezi.?
Kingine tujiulize kwanini Uganda ana ziada ya sukari kuuza nje ya nchi sisi tunashindwa nini?
R.I.P Magufuli sijui Azam ameishia wapa na mpango wake wa kuzalisha sukari nchini.
Mwisho naona mhitasari wa mazungumzo faida ni kwa Uganda tu, Sijaona Tanzania itakavyofaidika.
Mkiambiwa huyu mama ni janga muwe mnaelewaNaona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.
Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?
Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Utapeli kwani ni dhalimu wako yuko madarakani bado huyo?Utapeli mwingine ni wa kijinga sana, makubaliano hayo si yako kwenye jumuiya ya afrika mashariki. Huko yameshindikana ndio wanakubaliana pembeni kama sio utapeli ni nini?
Utapeli kwani ni dhalimu wako yuko madarakani bado huyo?
Magufuli mlimwita mshamba, ana haribu biashara na majirani.Mama Samia ni mwepesi kupunguza tozo zinazowagusa wageni, lakini yuko busy kuongeza tozo kwa mzawa.
Sijui ana chuki na wazawa?
Ni shida.Mkiambiwa huyu mama ni janga muwe mnaelewa
CCM ni ile ile, oooohhhh ni ile ileeeeeee.........Magufuli mlimwita mshamba, ana haribu biashara na majirani.
Ngoja mamaenu huyu awafanyizie sasa.
Dhalimu wako hayupo, mambo ni supa! Inakuwaje unataja utapeli kwenye selikali hii ya mama akiupiga mwingi?Ina mahusiano Gani na nilichosema?