Rais Samia ashuhudia utiaji wa saini wa hati ya ushirikiano nchini Uganda

huku nilipo mama hatumtaki ingekua 2025 ni kesho sijui ungejin adi na nini?
 
Hujaona umeme mpaka mwanza..hujaoma sukari.

#MaendeleoHayanaChama
 
dada yako anaupiga mwingi mkubwa.
 
Kwahiyo wakati wa Mwendazake sukari ilikuwepo nyingi!
 
Kuna haja ya kuruhusu sukari Toka Zambia na Malawi , hasa kwa mkoa wa Mbeya na mikoa mingine ya mpakani kuongeza ushindani kwa viwanda vya ndani
 
Kuna haja ya kuruhusu sukari Toka Zambia na Malawi , hasa kwa mkoa wa Mbeya na mikoa mingine ya mpakani kuongeza ushindani kwa viwanda vya ndani
 
Nafahamu kuhusu Kagera, ila huo msongo wa 400kV haiwezi kuwa ni kwa Kagera tu. Ni ujinga
Umeme wa mkoa wa kagera unatoka Uganda lkn haimaanishi kuwa wao wanajitosheleza hapana, ukiwa kampala kukatka kwa umeme ni jambo la kila siku nafuu ya Dar.
Gesi, makaa ya mawe, mvuke, jotoardhi, upepo, hivi vyote kwa pamoja vinaweza kutupa 6000MW kwa uchache, mahitaji yetu kwasasa yanakaribia 1800MW.

Kwenye hiyo 6000MW jumlisha 1600MW tuliyonayo sasa; Uganda yote, Kenya pia tunawabeba wazima wazima.

Jenga viwanda vya kuzalisha umeme, jenga njia ya kusafirishia umeme mpaka mipakani, wauzie majirani, faida ya kutosha, shirika linakuwa.

Unaenda kuchukua mikopo na misaada kwaajili ya Green city, Usawa wa kijinsia na Madarasa(yanayochangiwa na tozo, kodi na mikopo lakini bado hayaboreki wala kuongezeka)
 
Kwamba rais kakurupuka,kafika huko katoa dola kumi kwa malori ya Uganda,hizo arv ni kaisi gani tutanunua!?..madabida alikua anazalisha arv hapa,mzalendo akamtia ndani
 
Kila tunakoenda tunaendelea kupigwa kinoma. Wakenya nao wanatupiga sana sana. Citizen jana limesema Kenya ndiyo wamenufaika zaidi na ufunguaji nchi wetu holela kuliko sisi tulivyonufaika.
 
Kuna haja ya kuruhusu sukari Toka Zambia na Malawi , hasa kwa mkoa wa Mbeya na mikoa mingine ya mpakani kuongeza ushindani kwa viwanda vya ndani
Kwa nn serikali isije na mpango wa kusaidia uzalishaji wa sukari kuongezeka nchini?
Nchi tajiri ni ile inayozalisha sana, tuzalishe tuwauzie wao ndio pato linaongezeka. Tutaendelea kuwa nchi maskini hadi lini?
 
Mkuu unasahau kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ni ripota tu? She is not analytical and never she will be. Lazima kama nchi kuna mahali tulikosea sana maana si kwa fimbo hizi.
 
Daah!! Unaumri gani ndugu, huyu Mzee ndie aliyefanya Watu watembee uchi,na kama walivaa zilikuwa ni nguo za viraka.

Alikuwa hashauriki na Siasa yake aliyotoka nayo mwa Mao.
Kama sio Mwinyi kuja kurescue mambo,hali yetu Watanganyika ingekuwa mbaya sana.
 
Unaongea utoto gani sukuma gang?
Sukuma gang nakuuliza, unaitaje utapeli wakati dhalimu wako hayuko madarakani na unapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
 
Daah!! Unaumri gani ndugu, huyu Mzee ndie aliyefanya Watu watembee uchi,na kama walivaa zilikuwa ni nguo za viraka.

Alikuwa hashauriki na Siasa yake aliyotoka nayo mwa Mao.

Hivi kwani tuko kwenye vita wa sasa. You are not being fair Kwa Nyerere kwa kulinganisa nyakati za vita na nyakati zisizo na vita. Kuna kipindi cha Nyerere serikali ilikuwa inatoa hand outs kwa raia wake kiwango ambacho hakijawahi kutolewa na awamu zingine zote zilizofuata.
 
Kama sio Mwinyi kuja kurescue mambo,hali yetu Watanganyika ingekuwa mbaya sana.
Tulikuwa na hali mbaya mbaya kweli kweli labda tumpe credit ya kugombania Uhuru tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…