Rais Samia asifikiri kuwa mwanamke itavutia wawekezaji

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi.

Lengo letu sio kua na wawekezaji wengi tu. Samia asije legeza kamba akaanza kutoka kwenye misingi ya uwekezaji iliyowekwa na awamu ya tano.

Uwekezaji uwe ule wenye manufaa na nchi na mwekezaji 50/50 na isiwe kudumaza maendeleo ya wenyeji huku ukitajirisha wageni kwa mali asili au ghafi ya nchi yetu.

Wawekezaji potential wanaosifu mabadiliko ya rais huku wakimpiga vijembe mtangulizi wake ajue ni wale wenye kutaka masharti laini yenye kuwapendelea. Pia hawapendi uongozi imara wa nchi wenye kulinda maslahi ya wananchi wake.

Mzee ruksa alisema awamu yake alisimamia uchumi toka kuendeshwa na dola kwenda kutegemea sekta binafsi. Kwa hivyo milango ilipofunguliwa kwa uwekezaji binafsi waliingia pia wadudu wabaya akiwa na maana waliyotuumiza kiuchumi na wababaishaji.

Tulishapita huko saa hizi tumefikia mahali tunakaribisha wawekezaji wenye tija kwa maendeleo ya nchi na watu wetu.

Rais wetu awe makini asije yumba.
 
Hakuna misingi yoyote ya maana ya biashara iliyowekwa na awamu ya 5..Hakuna,hakuna,hakuna.

Hakuna Misingi iliyowekwa? Kwa hiyo, hii Awamu ndo itaiweka? Wale AGGREKO, DOWANS, BARRICK kuondolewa kwao huo sio msingi?
 
Mipango safi na uqanja mzuri wa uwekezaji ....sio matamko ya Jiwe....
 
Mleta mada wa hovyo ni wapi Samia alisema sababu yeye ni jinsia ya kike watu waje tu kizembe, uwekezaji wote huwa ni hatua na michakato huru ya kisheria na mazingira hapo kusingizia jinsia your not fair.
 
Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi.

Lengo letu sio kua na wawekezaji wengi tu. Samia asije legeza kamba akaanza kutoka kwenye misingi ya uwekezaji iliyowekwa na awamu ya tano.

Uwekezaji uwe ule wenye manufaa na nchi na mwekezaji 50/50 na isiwe kudumaza maendeleo ya wenyeji huku ukitajirisha wageni kwa mali asili au ghafi ya nchi yetu.

Wawekezaji potential wanaosifu mabadiliko ya rais huku wakimpiga vijembe mtangulizi wake ajue ni wale wenye kutaka masharti laini yenye kuwapendelea. Pia hawapendi uongozi imara wa nchi wenye kulinda maslahi ya wananchi wake.

Mzee ruksa alisema awamu yake alisimamia uchumi toka kuendeshwa na dola kwenda kutegemea sekta binafsi. Kwa hivyo milango ilipofunguliwa kwa uwekezaji binafsi waliingia pia wadudu wabaya akiwa na maana waliyotuumiza kiuchumi na wababaishaji.

Tulishapita huko saa hizi tumefikia mahali tunakaribisha wawekezaji wenye tija kwa maendeleo ya nchi na watu wetu.

Rais wetu awe makini asije yumba.
Basically a stupid way of thinking!!
Too low.
 
E2Jrb3tXoAMmMNW.jpeg
 
Kwa upepo ulivyobadilika asahau kuona wawekezaji wakiwekeza Tanzania kama hatoweza kuutuliza.

Madai ya katiba mpya yana nguvu JOBO inasubiri.
 
Hiyo katiba inadaiwa na akina nani?
 
Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi.

Lengo letu sio kua na wawekezaji wengi tu. Samia asije legeza kamba akaanza kutoka kwenye misingi ya uwekezaji iliyowekwa na awamu ya tano.

Uwekezaji uwe ule wenye manufaa na nchi na mwekezaji 50/50 na isiwe kudumaza maendeleo ya wenyeji huku ukitajirisha wageni kwa mali asili au ghafi ya nchi yetu.

Wawekezaji potential wanaosifu mabadiliko ya rais huku wakimpiga vijembe mtangulizi wake ajue ni wale wenye kutaka masharti laini yenye kuwapendelea. Pia hawapendi uongozi imara wa nchi wenye kulinda maslahi ya wananchi wake.

Mzee ruksa alisema awamu yake alisimamia uchumi toka kuendeshwa na dola kwenda kutegemea sekta binafsi. Kwa hivyo milango ilipofunguliwa kwa uwekezaji binafsi waliingia pia wadudu wabaya akiwa na maana waliyotuumiza kiuchumi na wababaishaji.

Tulishapita huko saa hizi tumefikia mahali tunakaribisha wawekezaji wenye tija kwa maendeleo ya nchi na watu wetu.

Rais wetu awe makini asije yumba.
Kwanza kuna swali moja la kuuliza. Unapokuwa madarakani unaweza ukawa unakuja kwa nia njema kabisa ya kupigania haki za wananchi na sio maslahi binafsi na kulinda serikali hata kama inakosea.

Kwa maneno hayo sasa. Tujiulize, ni wangapi ambao wanaweza kuweka kipaumbele shida za wananchi na kuweza ku sacrifice hata uhai wake. Tunajua kupigania haki ni jambo linalohitaji ujasiri sana. Ili uwe kiongozi bora katika hili ni lazima pia usiwe mlafi wa pesa na uroho wa madaraka, pia unahitaji kua na mindset ya mwanafalsafa.

Kwa mfano tunawalaumu sana viongozi/wanasiasa juu ya uwajibikaji. Lakini ukweli mchungu kwa dunia ya sasa viongozi ni wafanyabiashara. Na siku zote mfanya biashara atafanya chochote hata kudiriki kudanganya wananchi ilimradi lengo lake litimie. Hawa huwa hawana uchungu na jamii wanazotoka, huwa ni waoga wa kupoteza mali na pesa kwa ajili ya kupambana dhidi ya matatizo ya nchi.

Kiongozi wa aina hii, huwa anahakikisha anacheza karata yake kwa umakini sana akiwa madarakani au nyazfa yoyote ya uongozi.
Sisi wananchi tunabaki kulia mara ooh mbona mbunge fulani anajua tuna matatizo fulani wilayani lakini haongei. Anaweza asiongee kwa sababu kwake ni rahisi kuishi vizuri aki defend serikali kuliko ku defend wananchi. So wanachofanya wanaaangalia sehemu yenye influence ya power. Kama kusifia raisi kutamfanya maisha yake yawe mazuri na salama atasifia sana hata kama ni ujinga.

Ndo maana tunasema kwa dunia ya sasa 2021 tuna wafanya biashara wengi sana kwenye nyazifa za uongozi kuliko wazalendo na viongozi wa kweli. Sifa kuu ya mfanyabiashara ni kufanya chochote kinachomwezesha kupata hela na usalama wa maisha yake sio ya wananchi.

Sasa solution ya hii mambo ni nn wakuu? South afrika imetuonesha ni kiasi gani kuna wafanya biashara wengi kuliko viongozi. Kuna swala la kujifunza hapa kama nchi.
 
Toka lini CCM ikawa na uongozi wa kulinda maslahi ya wananchi?

Back
Top Bottom