Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Kwakua umekubari matakwa ya wana ccm mtandao basi utaishi kwa amani apo magogoni na kwenye hilo ni km umetusaliti mwendo wa uliyemuandika hapo uwe pamoja nawe vivyohivyo
 
Aisee! Utafanya wapate tumbo la kuhara sasa hivi!
 
RIP Mzee Kibao
RIP Mdude na wengine wote, damu zenu zikamlilie Mola milele dhidi ya wauaji wenu.
 
NA NUKUU
KIFO N KIFO HATA AFE NANIII
 
Ulikosea sanaaaa eti KIFO NI KIFO TUUU
 

Mungu tunaomba mpende na Mama zaidi kama ulivyompenda Magu na Ndugai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…