The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hiyo sheria ipo,Atengeneze sheria sio maneno ya jukwaani
Sheria itachukua mkondo wakeNa ikitokea mtu kawekwa ndani bila ushahidi/upelelezi kukamilika?
Anaongea kila mtu asikie sio sawala la mambo ya ndani na porojo kama hizo.Ukisikiliza hii clip utaona kuna mambo mengi yaliyozungumzwa yalipaswa kuwa katika vikao vya ndani na ma ofisa.
🤝🤝🤝🤝Maneno yake mengi yanapuuzwa.
Atengeneze sheria sio maneno ya jukwaani
Kwani wanamuogopa? Kaongea mangapi hadi sasa?Anaongea kila mtu asikie sio sawala la mambo ya ndani na porojo kama hizo.
Wewe unayajua mangapi aliyoagiza hadi sasa na hayajatekelezwa?Kwani wanamuogopa? Kaongea mangapi hadi sasa?
Na hili mkaliangalie.Wewe unayajua mangapi aliyoagiza hadi sasa na hayajatekelezwa?
Mwisho kama jambo linakiuka sheria hakuna atakayeyekeleza kwa sababu liko kwenye sheria hadi wabadili sheria.