Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

Rais hahitaji kusisitiza. Anahitaji kuchukua hatua kwa Mtanzania mwajiriwa wake ambaye hafuati maagizo yake. Msaidieni Rais wetu atimize wajibu wake.
Acha upumbavu unadhani kila kitu na kila mara ni kuchukua hatua?

Ingekuwa hivyo Kazi zingekuwa haziendi maofisini na maisha yangekuwa ni Majanga tupu..

Rais alishasema huwa anaongea mara 2 mwisho ya 3 anachukua hatua.
 
Nimegundua huyu ni mtu na nusu ! Na hapaswi kulaumiwa Kwa sababu zozote ...Rais huyu ni wapekee japo ni binadamu. na sisi binadamu Huwa ni vigumu kulidhika hata mtu angefanyaje. Kwa hulka yetu ukipewa wali nyama ,utaanzisha maandamano ya kudai mchuzi. .na ukipewa mchuzi unaanzisha maandamano ya kudai kachumbari. .ukipewa kachumbari Kuna maandamano ya kudai chumvi . hiyo ni hulka yetu wanadamu hatujui neno Asante hata Kwa kile tunachopata. .Rais anaeleza vitu mpaka unamuona kabisa anaumia huyu !! Mahabusu magerezani wanakula ugali wa serikali Kwa kesi ambazo hazina ushahidi wowote . nilijua ni rais anaagiza watendewe hivyo kumbe hapana ,mama yetu na yeye anaumia na hajui ni Kwa nini; Nimegundua wasaidizi wa Rais ndio wanaoharibu taswira na Nia yake njema . jamani tumheshimuni huyu mama kabla hajaondoka , huyu inaonekana atatuletea nafuu nyingi sana ..Dpp anaweka mtu ndani mpaka miaka miwili na kesi haijulikani ni ipi..narudia Tena tumheshimu huyu malaika mungu katupa .mama huyu akiendelea hivi nawambieni tutapiga hatua kubwa sana. SAMIA SULUHU HASSANI sitakulaumu Tena .umenikuna na nimekunikaaa ..Sasa tuanze na Hawa waliojaza magereza na ushahidi hamna, watolewe kwanza mpaka ushahidi utakapo kamilika . Samia suluhu hoyeee !! Najua wavimba macho mtakuja kunichamba hapa ila mwambieni huyu mama Nina jogoo wake hapa kipatimo juu ,msigwa njoo umchukulie mama zawadi yake akachemshe supu Kwa kazi nzuri .. mwambieni Mimi nimekunika sanaaaaa !
Propaganda hakuna raisi pale sifa kuu ya kiongozi bora ni ukali na ukatili
 
nilisoma sehemu nafikiri ni humu jf, kuwa wanaoponda selikali mitandaoni kukiona, naona sasa kuna mtu ameeamua kutafuta teuzi maana amejiridhisha kuwa kumbe na mitandaoni wakubwa wanasoma maoni yao
 
Naona mkakati wa mapambio kama ule wa Mataga hatimaye umeanza rasmi. Cha kushangaza wanaokosoa wanatishwa!

Ila wanaosifia hata ujinga, sawa!!
 
Naona mkakati wa mapambio kama ule wa Mataga hatimaye umeanza rasmi. Cha kushangaza wanaokosoa wanatishwa!

Ila wanaosifia hata ujinga, sawa!!
Rais Samia mtu wa haki 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-141636.png
    Screenshot_20220902-141636.png
    116.6 KB · Views: 4
Back
Top Bottom