Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

Rais hahitaji kusisitiza. Anahitaji kuchukua hatua kwa Mtanzania mwajiriwa wake ambaye hafuati maagizo yake. Msaidieni Rais wetu atimize wajibu wake.
Acha upumbavu unadhani kila kitu na kila mara ni kuchukua hatua?

Ingekuwa hivyo Kazi zingekuwa haziendi maofisini na maisha yangekuwa ni Majanga tupu..

Rais alishasema huwa anaongea mara 2 mwisho ya 3 anachukua hatua.
 
Propaganda hakuna raisi pale sifa kuu ya kiongozi bora ni ukali na ukatili
 
nilisoma sehemu nafikiri ni humu jf, kuwa wanaoponda selikali mitandaoni kukiona, naona sasa kuna mtu ameeamua kutafuta teuzi maana amejiridhisha kuwa kumbe na mitandaoni wakubwa wanasoma maoni yao
 
Naona mkakati wa mapambio kama ule wa Mataga hatimaye umeanza rasmi. Cha kushangaza wanaokosoa wanatishwa!

Ila wanaosifia hata ujinga, sawa!!
 
Naona mkakati wa mapambio kama ule wa Mataga hatimaye umeanza rasmi. Cha kushangaza wanaokosoa wanatishwa!

Ila wanaosifia hata ujinga, sawa!!
Rais Samia mtu wa haki 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-141636.png
    116.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…