JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Call me after you finish up with a call from ZARais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
nakupenda sana wee mwanamke hujambo?Call me after you finish up with a call from ZA
Sijambo m'baba, u mzima wewe?Nakupenda sana wewe mwanamke hujambo?
Mbona hapo mwanzo kabisa nimesikia anasema "fanya harakaharaka nasikia ku-faint"
Ndio Rama kamwambia hivyo?Call me after you finish up with a call from ZA
Mimi sijambo. Nakuona😅Sijambo m'baba, u mzima wewe?
Upo makini Mkuu ni kweliMbona hapo mwanzo kabisa nimesikia anasema "hebu harakaharaka nahisi ku-faint"
Inaonekana alijiskia vibaya ila baada ya muda alirudi na kuendelea na hotuba.Mbona hapo mwanzo kabisa nimesikia anasema "hebu harakaharaka nahisi ku-faint"
So whatRais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
Ana upara kama uwanja wa ndege wa chatoHuyu jombiii anakuwaga kirenga mnooo 😅😅😅
Sio kweli kwamba alisitisha hotuba kwa ajili ya kupokea simu ya rais wa Afrika Kusini kama ilivyoandikwa ila amesikika mwenyewe akisema "...ngoja haraka haraka nahisi ku-faint.."Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
Unataka kusema nini?Sio kweli kwamba alisitisha hotuba kwa ajili ya kupokea simu ya rais wa Afrika Kusini kama ilivyoandikwa ila amesikika mwenyewe akisema "...ngoja haraka haraka nahisi ku-faint.."
Kwa hiyo mwandishi uliyepandisha uzi huu wewe ni mwongo ulikuwa unataka kuficha nini mbona JPM kule Ruangwa ulipotokea moshi mliripoti kama ilivyokuwa inaonesha na yeye mwenyewe mwenyewe kukiri uwepo wa moshi huo?