Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

Sio kweli kwamba alisitisha hotuba kwa ajili ya kupokea simu ya rais wa Afrika Kusini kama ilivyoandikwa ila amesikika mwenyewe akisema "...ngoja haraka haraka nahisi ku-faint.."

Kwa hiyo mwandishi uliyepandisha uzi huu wewe ni mwongo ulikuwa unataka kuficha nini mbona JPM kule Ruangwa ulipotokea moshi mliripoti kama ilivyokuwa inaonesha na yeye mwenyewe mwenyewe kukiri uwepo wa moshi huo?
Mwandishi sijakosea, ndivyo walivyosema kama ukisikiliza vizuri kwenye video hiyo, lakini unachosema wewe ni kweli kuwa mama alichotamka akidhani mic iko mbali ndicho sahihi, japokuwa baadaye aliporejea mwenyewe akasema alikuwa anaongea na Rais wa Afrika Kusini kwa kuwa ana safari ya kwenda huko.
 
HEBU,HARAKA,HARAKA,HARAKA,NAHISI KU FAINT,HARAKA.
Watu wanoko kweli. Bila kuambiwa mi nilikuwa sijui.
 
Back
Top Bottom