Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro

Sio kweli kwamba alisitisha hotuba kwa ajili ya kupokea simu ya rais wa Afrika Kusini kama ilivyoandikwa ila amesikika mwenyewe akisema "...ngoja haraka haraka nahisi ku-faint.."

Kwa hiyo mwandishi uliyepandisha uzi huu wewe ni mwongo ulikuwa unataka kuficha nini mbona JPM kule Ruangwa ulipotokea moshi mliripoti kama ilivyokuwa inaonesha na yeye mwenyewe mwenyewe kukiri uwepo wa moshi huo?
 
Yaani Dunia nzima na bara la Afrika linamtegemea, hakika Tanzania tuna hazina
 
Unataka kusema nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…