Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
- Thread starter
- #101
Madikteta wengi huaribu Demokrasia lakini huilinda nchi yao na kuijenga.Kipindi cha Magufuli ni kweli alizuia Democrasia lakini Upande alifanya Vizuri alivuluga Demokrasia na Upande wa Huduma za kijamii Wananchi walienjoi Magufuli alikua anaonyesha nia ya dhati ya kuleta Maendeleo ya nchi ndiyo Maana wananchi walimuacha awe huru kufanya Maendeleo ambayo Wapinzani Maendeleo ya Vitu siyo Mazuri, Unajua kipindi cha Kikwete wapinzani walikua wanatukana kwa kusema miaka 50 ya uhuru CCM hawajafa lolote lile la maana na CCM wenyewe walikua kimya mpaka Kikwete akawambia wajitokeze wawajibu wasikae kimya wasiwe wanyonge, awamu ya Magufuli wapinzani wakaacha kauli mbiu yao ya Miaka 50 hakuna kilichofanyika wakaja na kaulimbiu Wanataka Maendeleo ya watu na siyo Maendeleo ya vitu na wakati huo Mbowe na Zitto wapo ndani ya Ndege, Sasa awamu hii ile kauli ya Miaka zaidi ya 50 imekuja tena watu wanasema Miaka zaidi ya 50 Wananchi hawana maji ya kupikia, angekua Magufuli mpaka sasa shida ya Maji ingemalizika kwasababu Tilioni 107 ni pesa nyigi mno, hizi pesa Viongozi wametia mifukoni kwasababu Raisi Hana Elimu hawezi kujua hesabu za Tilioni zimetumikaje hawezi kuhoji hana uwezo huo wa kuijadili Matilioni na hawezi kusoma nyaraka kwasababu Elimu ndogo.
Putin, gadafi na nchi za kifalme
Huyu wetu amekuwa dikteta na kichwani hamna kitu ni karai tu matokeo yake anaharibu demokrasia na anauza nchi, sijawahi kuona dikteta mjinga only in tanzania