Ni Rais pekee ambae watanzania wamemkataa wazi wazi.
Sio kwa sababu ya Udini( tuliwahi kuwa na rais waislam na hakukuwa na shida yoyote) , Ukabila au Jinsia kama inavyoenezwa kwa propaganda.
Wengi wamemkataa Samia kwa kigezo cha Competency na Uzalendo. Watanzania wanaamini nchi yao ipo kwenye majaribio na kwa sasa nchi inaendeshwa na WAHUNI, huo ni ukweli mchungu.
Huu ni ukweli ambao Samia ataingia nao kaburini.
1. Hakuwahi kuchaguliwa na wananchi kwa ridhaa yao kwa awamu zote mbili
2. Samia ni rais pekee ambae amebeba historia mbaya ya Tanzania , ni historia ya kipekee tangu TZ iumbwe na mbaya zaidi ameiandika hii historia kipindi cha technology and digital transformation, in the near future …. Hata familia yake itaathirika na hii historia
3. Ni Rais pekee ambae baada ya mauti yake, nyuma ataacha vitabu, documentary hata movies zitakazoelezea ubaya wake na ukatili ambao kwa asilimia kubwa umechangiwa na INCOMPETENCY , : sidhani kama ataipenda hii historia.
I feel so sad for her - Sidhani kama alitamani iwe ilivotokea. It is all about incompetency, smart leaders would never let that happen. Unawezaje kufanya massacre kwa wananchi unaowaongoza ….. very strange. Akili ni kitu muhimu sana
The worst part ni kwa miaka 4 iliyobaki ( kama mungu atampa kibali cha pumzi zaidi) hakuna atakachoweza kufanya cha kuleta maendeleo, kwa sasa ni anazuga zuga tu hakuna maendeleo atakayofanya kwa sasa , watanzania wamemkataa, na wataendelea kumkataa : now yupo kwenye survive of the fittest, it is sad but true ….: ni rais pekee atakaekuwa amekaa madarakani bila maendeleo yoyote.
Hapo chini ni kitabu ambacho kinaandaliwa na Mtanzania anaeishi marekani , Dr Ezekiel , aliwahi kuwa Mwalimu wa UDSM miaka ile akapata nafasi ya kufundisha, USA Pennsylvania University. Anafanya kazi kwa karibu pia na Shirika la haki za binadamu , Amnesty.
Hii kitu samia hawezi kukaa nayo mbali, I feel sad for her
Dr. Megalodon Mushi
Ottawa, Canada
Rue 52