Rais Samia Ataishi na huu ukweli kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani

Rais Samia Ataishi na huu ukweli kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani

Mimi kanifundisha usitukane mamba kabla hujavuka mto,alimtukana sana Magufuli hope kwa maelekezo au kushawishiwa na Kikwete,lakini leo yeye na JK wote wamechafuka
Kuna kale ka clip jk akipepesa macho. Kanatia aibu sana
 
Mie nilipigia mstari pale alipotuwekea mwanae wa kumzaa kuwa naibu waziri, uthubutu wa hovyo haijapata kutokea ktk taifa letu!!!.
 
Gen Z wanaponishangaza ni kumshabikia Hayati na kumkataa Maza. Wanasahau legacy hii kubwa kabisa ya ukosefu wa demokrasia haijaanza kwake. Wanasahau vilio vya wabongo kipindi kile na hiki ni dhidi ya utekaji, ukosefu wa demokrasia na uhuru wa kuropoka ovyoovyo.
Anyway anti CCM hamjawahi kumsapoti Mwendazake enzi zake. Tena yeye alikuwa na nguvu nyingi! Mngejaribu hili la vurugu na alisema ole wake atakaejaribu.Ni Nini unafiki kuonesha mnapenda sana Hayati?
Nb. Kusema Bi mkubwa hajaleta maendeleo yoyote huo ni uwongo mkuu. Njoo Bongo boss utaona vile Kuna utofauti mkubwa kiuchumi, kijamii na kiteknolojia ndani ya enzi yake hii.
Amevunja rekodi zote mbaya za JPM!

Angalia mtu kama Lisu yuko ndani mwaka sasa kwa kosa gani?

Kiongozi gani wa upinzani alifungwa mwaka mzima na JPM?

Huyu mama kaingia tu kamtia Mbowe ndani.

JPM na ukatili wote hatukuwa tunaingia jf kwa vpn
 
Mkuu inashanga sana, hata Mwigulu nae speech nzima ni kusema sema watu na kuleta umbea wa kuchamba utafikir ni taarabu ya enzi za akina Hadija Koppa na Nasma Hamis Kidogo enzi wapo kwenye peak.
 
Mtu unakuwa mjinga mpaka unaaamua kuandamana kisa Umeambiwa jeshi litakulinda na kusahau hapa ni Africa
 
Mtu unakuwa mjinga mpaka unaaamua kuandamana kisa Umeambiwa jeshi litakulinda na kusahau hapa ni Africa
Ukitazama picha za awali wakati maandamano yanaanza, nikweli kbs jeshi lililinda waandamanaji...mambo yaligeuka pindi wahuni wachache waliojipenyeza walipoanza uporaji na uhalifu...hapo jeshi likajiuliza litaonekanaje mbele ya mamlaka kwamba linasapoti uhalifu?!.
 
Gen Z wanaponishangaza ni kumshabikia Hayati na kumkataa Maza. Wanasahau legacy hii kubwa kabisa ya ukosefu wa demokrasia haijaanza kwake. Wanasahau vilio vya wabongo kipindi kile na hiki ni dhidi ya utekaji, ukosefu wa demokrasia na uhuru wa kuropoka ovyoovyo.
Anyway anti CCM hamjawahi kumsapoti Mwendazake enzi zake. Tena yeye alikuwa na nguvu nyingi! Mngejaribu hili la vurugu na alisema ole wake atakaejaribu.Ni Nini unafiki kuonesha mnapenda sana Hayati?
Nb. Kusema Bi mkubwa hajaleta maendeleo yoyote huo ni uwongo mkuu. Njoo Bongo boss utaona vile Kuna utofauti mkubwa kiuchumi, kijamii na kiteknolojia ndani ya enzi yake hii.
Dogo naona umekataa kufikiria vema

Massacre iliyotokea TZ ni historical event ikiambatana na jina la Samia

Rais ajae cha kwanza baada ya kuapishwa atatakiwa kuwaomba msamaha kwa alichokifanya Samia , msamaha utaambatana kwa kuwachukulia hatua Samia na timu yake yote - huenda ndio nchi itapata rehema . Najua timu JK itapambana kuweka mtu wake Ila wata feli

Kwa akili ya kawaida kulikuwa na njia nyingi za kuwadhoofisha waaandamanaji bila ya kuuwa.


Hili lazima lije kulipwa for the same amount of bloodshed
 
Ni Rais pekee ambae watanzania wamemkataa wazi wazi.

Sio kwa sababu ya Udini( tuliwahi kuwa na rais waislam na hakukuwa na shida yoyote) , Ukabila au Jinsia kama inavyoenezwa kwa propaganda.

Wengi wamemkataa Samia kwa kigezo cha Competency na Uzalendo. Watanzania wanaamini nchi yao ipo kwenye majaribio na kwa sasa nchi inaendeshwa na WAHUNI, huo ni ukweli mchungu.

Huu ni ukweli ambao Samia ataingia nao kaburini.

1. Hakuwahi kuchaguliwa na wananchi kwa ridhaa yao kwa awamu zote mbili

2. Samia ni rais pekee ambae amebeba historia mbaya ya Tanzania , ni historia ya kipekee tangu TZ iumbwe na mbaya zaidi ameiandika hii historia kipindi cha technology and digital transformation, in the near future …. Hata familia yake itaathirika na hii historia

3. Ni Rais pekee ambae baada ya mauti yake, nyuma ataacha vitabu, documentary hata movies zitakazoelezea ubaya wake na ukatili ambao kwa asilimia kubwa umechangiwa na INCOMPETENCY , : sidhani kama ataipenda hii historia.

I feel so sad for her - Sidhani kama alitamani iwe ilivotokea. It is all about incompetency, smart leaders would never let that happen. Unawezaje kufanya massacre kwa wananchi unaowaongoza ….. very strange. Akili ni kitu muhimu sana

The worst part ni kwa miaka 4 iliyobaki ( kama mungu atampa kibali cha pumzi zaidi) hakuna atakachoweza kufanya cha kuleta maendeleo, kwa sasa ni anazuga zuga tu hakuna maendeleo atakayofanya kwa sasa , watanzania wamemkataa, na wataendelea kumkataa : now yupo kwenye survive of the fittest, it is sad but true ….: ni rais pekee atakaekuwa amekaa madarakani bila maendeleo yoyote.

4. Samia amekwenda kusafisha historia ya JPM na kumfanya kuwa the best president in our history, ni Rais pekee within 5 years amefanya mambo ambayo watanzania akiwemo na Samia wanaendelea kunufaika nayo, that was prophetic kwa kweli.

Dr. Megalodon Mushi
Ottawa, Canada
Rue 52

Maisha yake yalibaki ni mafupi sana! Ataozea jehenam!
 
Ukitazama picha za awali wakati maandamano yanaanza, nikweli kbs jeshi lililinda waandamanaji...mambo yaligeuka pindi wahuni wachache waliojipenyeza walipoanza uporaji na uhalifu...hapo jeshi likajiuliza litaonekanaje mbele ya mamlaka kwamba linasapoti uhalifu?!.
Sio kweli . Tunamifumo ya usalama dhaifu. Rais ukishakuwa na incompetency….. hata watu wa chini wataenda na incompetency yako

Polisi wengi ni form 4 failure , je unategemea nini ?
 
Kwa hiyo unadhani Andry Rajoelina wa Madagascar na Sharma Oil wa Nepal wao walikuwa hawana uwezo wa kutumia vyombo vyao vya usalama kupiga wanainchi wao risasi na kisha kuwaua kwa maelfu hili wao wabaki madarakani?

Kabisa unamuona Samia wako ni shujaa sana kujibakiza madarakani kwa kuua maelfu ya wanainchi?

Kwamba viongozi walioamua kuachia madaraka baada ya kukataliwa na wanainchi kwa maandamano, kwako wewe hao ni viongozi dhaifu wasiojua kutumia vyombo vyao vya dola kma amri jeshi mkuu sio?

Una hatari sana wewe.

Haya huyo samia wako mbaye unamuona ni mjanja kuliko wenzie akina Rojoelina na Oil mbona sasa hivi anashindwa hata kuufaidi huo uraisi wake? Anaishi kwa kujificha kma muuza bangi kwanini asiende huko duniani kwenye ziara za kidiplomasia akapewe na pongezi za kupigiwa kura na watu 32m?

Njia aliyotumia samia wako kujibakiza madarakani ni ya kipumbavu mno na hakuna kiongozi mwingine anayeweza kuitumia kwa hii dunia ya leo... mambo kma hayo ya kuua wanainchi wako hili uwatawale waliyafanya akina Joseph Stalin na Pol pot miaka ya 1920s huko, halafu huyu mzanzibari anakuja kuyafanya leo 2025 halafu anategemea atatuongoza kwa miaka mitano haya tupo hapa.
itakuwa hajaelewa nini maaana ya mtu kuitwa Rais wa nchi . Na ndio maana tunasema nchi ipo chini ya wahuni na matapeli kwa sasa
Unaua watoto zako na kujiona shujaa ;
 
Mkuu, binafsi nipo Bongo lakini sijui Samia ameleta maendeleo gani Tanzania tangu aingie madarakani.

Zaidi ya yote naona ameongeza utekaji, utesaji na mauaji..

Ameongeza deni la Taifa kutoka 57 trillion mpaka 107 trillion.

Katka utawala wake amesababisha Mfumko wa Bei... Kabla yake kipande Cha sabuni kilikua 200 lakini saivi ni 700 Tsh.

Anyway huenda nina roho ya chuki na wivu ndiyo maana sioni maendeleo aliyo yaleta...

Unaweza angalau kutaja miradi miwili ya maendeleo aliyo izundua? Kabla ya ile iliyo achwa na mwenda zake?
Hakuna zaidi ya kuuza mali za umma

Worst part kwa sasa anapambana na wananchi wake …… ndio kabisa hakuna atakachoweza kufanya zaidi ya kulinda power , nchi imeshaingia kwenye great depression time will tell


CCM wanasemaga nchi haijaribiwi:wao ndio sasa wameenda kuiweka nchi kwa majaribu

It is historical moment kwenye our country history . Nchi iliundwa kwa heshima over 60 years , it took days kuharibu legecy ya nchi just for incompetency and greed.
Watu walisema na wakasema tena but ignorance ni tatizo

Two things are Infinity kwenye dunia hii, the universe and mans stupidity

It Will take next 60 years kuirudisha nchi kwenye normal state , Samia amebeba roho ya kishetani na siku zote shetani anapitia kwa mwanamke, alaaniwe samia kwenye kila kinywa cha mtanzania mpaka siku anayoingia kaburini….. and honestly she will never make it
 
Dogo naona umekataa kufikiria vema

Massacre iliyotokea TZ ni historical event ikiambatana na jina la Samia

Rais ajae cha kwanza baada ya kuapishwa atatakiwa kuwaomba msamaha kwa alichokifanya Samia , msamaha utaambatana kwa kuwachukulia hatua Samia na timu yake yote - huenda ndio nchi itapata rehema . Najua timu JK itapambana kuweka mtu wake Ila wata feli

Kwa akili ya kawaida kulikuwa na njia nyingi za kuwadhoofisha waaandamanaji bila ya kuuwa.


Hili lazima lije kulipwa for the same amount of bloodshed
Sawa boss
 
Uzuri ni kwamba anewaonyesha uwezo kuwa yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania. Mlimdharau kwa kuwa ni mwanamke, amewajibu kwa vitendo na Tanzania iko imara.

Rajoelina huko Madagascar kafurushwa na pia Waziri Mkuu wa Nepal kakimbia lakini Samia ndani ya masaa 12 kawashikisha adabu. Washenzi nyinyi mko Canada mnataka kutuharibia nchi
Muwe mnatafakari kwanza kabla ya kuandika maoni yenu, kwa hiki ulichoandika tukikuita mpumbavu utasema umeonewa? Jamii forum nowdays imevamiwa kwa kasi na watu wajinga wajinga
 
itakuwa hajaelewa nini maaana ya mtu kuitwa Rais wa nchi . Na ndio maana tunasema nchi ipo chini ya wahuni na matapeli kwa sasa
Unaua watoto zako na kujiona shujaa ;
Hakika, hata wana ccm wa kweli wanasema hii ya sasa sio ccm bali ni genge la wahuni waliokiteka chama na nchi kwa ujumla.

Na ndio maana sasa hivi wanachojali ni kushirikia madaraka tu kwa njia yoyote ile, wala hata hawajali taifa linaelekea wapi.

Matahira kma huyo hawajui athari ya kuitetea na kuipa nguvu serikali haramu ndio maana wanaropoka tu
 
Ni Rais pekee ambae watanzania wamemkataa wazi wazi.

Sio kwa sababu ya Udini( tuliwahi kuwa na rais waislam na hakukuwa na shida yoyote) , Ukabila au Jinsia kama inavyoenezwa kwa propaganda.

Wengi wamemkataa Samia kwa kigezo cha Competency na Uzalendo. Watanzania wanaamini nchi yao ipo kwenye majaribio na kwa sasa nchi inaendeshwa na WAHUNI, huo ni ukweli mchungu.

Huu ni ukweli ambao Samia ataingia nao kaburini.

1. Hakuwahi kuchaguliwa na wananchi kwa ridhaa yao kwa awamu zote mbili

2. Samia ni rais pekee ambae amebeba historia mbaya ya Tanzania , ni historia ya kipekee tangu TZ iumbwe na mbaya zaidi ameiandika hii historia kipindi cha technology and digital transformation, in the near future …. Hata familia yake itaathirika na hii historia

3. Ni Rais pekee ambae baada ya mauti yake, nyuma ataacha vitabu, documentary hata movies zitakazoelezea ubaya wake na ukatili ambao kwa asilimia kubwa umechangiwa na INCOMPETENCY , : sidhani kama ataipenda hii historia.

I feel so sad for her - Sidhani kama alitamani iwe ilivotokea. It is all about incompetency, smart leaders would never let that happen. Unawezaje kufanya massacre kwa wananchi unaowaongoza ….. very strange. Akili ni kitu muhimu sana

The worst part ni kwa miaka 4 iliyobaki ( kama mungu atampa kibali cha pumzi zaidi) hakuna atakachoweza kufanya cha kuleta maendeleo, kwa sasa ni anazuga zuga tu hakuna maendeleo atakayofanya kwa sasa , watanzania wamemkataa, na wataendelea kumkataa : now yupo kwenye survive of the fittest, it is sad but true ….: ni rais pekee atakaekuwa amekaa madarakani bila maendeleo yoyote.

4. Samia amekwenda kusafisha historia ya JPM na kumfanya kuwa the best president in our history, ni Rais pekee within 5 years amefanya mambo ambayo watanzania akiwemo na Samia wanaendelea kunufaika nayo, that was prophetic kwa kweli.

Dr. Megalodon Mushi
Ottawa, Canada
Rue 52
Nadhani pia itakuwa mara ya mwisho Tanganyika kuongozwa na mzenji!

Ameharibu mno!
 
Back
Top Bottom