Rais Samia Ataishi na huu ukweli kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani

Madikteta wengi huaribu Demokrasia lakini huilinda nchi yao na kuijenga.

Putin, gadafi na nchi za kifalme

Huyu wetu amekuwa dikteta na kichwani hamna kitu ni karai tu matokeo yake anaharibu demokrasia na anauza nchi, sijawahi kuona dikteta mjinga only in tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…