white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Yaani nimeamini mambo ya uwaziri ni kupeana tu na sio mtu anavyo perform, ndio maana hatuwezi kwenda mbele!!yaani riz awe naibu , lukuvi nje?!!hahaaaaEeeh,wizara ya afya alipwaya huyu mpuuzi,maigizo Ni mengi
Well said... saivi wanachapika vizuri , CCM imemeguka vizuri sana, sema upinzani nao hawaeleweki,majanga na ma kesi mengi mahakamani.Upinzani + Sukuma Gang+ Kundi la mtandao wanaweza kuipasua CCM kuliko wakati wowote na nchi ku experience vuguvugu ambalo halijawahi kutokea.
huyu ni Rais wa jinsia mzeeUnajua huyu anaangalia tu jinsia bila kuangalia uwezo,Hamna kitu
Mume wake ni nani au ameshatangulia?Uyu mama panga pangua zote za mawaziri, tangu enzi za jakaya,jpm na Sasa uyu mama yeye huwa anabaki.
Sijajua huwa ana Nini Cha ziada[emoji4]
Lukuvi maskini, alivyokua anaiwinda nafasi ya kassimu, sasa akiebaki anaiwinda nafasi ya kasimu na makambaLukuvi, Mkumbo, Kabudi nje
Mungu Wa Mbinguni Hubariki Taifa La Wenye Haki[emoji3577]
Hata mimi nimechoka kweli Lukuvi, nje riz naib waziri?!!Lukuvi alipaweza sn ardhi basi tu
Yes liko sawa, ULITAKA ATEULIWA BABAKO AU MAMAKO mkuu??? Punguza hasira na visirani, watoto wa kiume hukubaliana na hali afu wanasonga mbele.Pumbavu wewe yaani unaona ni sawa??
Mara 100 lukuvi na kabudiLukuvi, Mkumbo, Kabudi nje
Urais? Yaani alietudanganya kuwa JPM yupo ofisini anapitia mafaili kumbe anapigania uhai wake ICU ndio unasema achape kazi??Mliosubiri PM majaliwa aenguliwe mpoo? Asante Sana mama,majaliwa piga kazi na mungu akipenda uje uwe rais wetu.
Hongera PM Allah akusimamie
Huyu Doto Biteko Upepo wake uko Vizuri, Mganga wake ni nani aisee mana mpaka leo ana hema, au kafukia mbuzi mzima hapo Wizarani, Kongole kwake Dr Biteko
Lukuvi anaenda kuwa SpikaLukuvi maskini, alivyokua anaiwinda nafasi ya kassimu, sasa akiebaki anaiwinda nafasi ya kasimu na makamba
Huyu mama ndo kiboko tangu nikiwa sekondari hadi leo mie bibi kizee bado yupo tu kwenye wizara huko,Na Jenista mhagama
Nadhani anaenda kuwa SpikaHata mimi nimechoka kweli Lukuvi, nje riz naib waziri?!!
Watanzania tumepigwahuyu ni Rais wa jinsia mzee
SidhaniAnaweza kwenda kuwa speaker bungeni