Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Upinzani + Sukuma Gang+ Kundi la mtandao wanaweza kuipasua CCM kuliko wakati wowote na nchi ku experience vuguvugu ambalo halijawahi kutokea.
Well said... saivi wanachapika vizuri , CCM imemeguka vizuri sana, sema upinzani nao hawaeleweki,majanga na ma kesi mengi mahakamani.
 
Mliosubiri PM majaliwa aenguliwe mpoo? Asante Sana mama,majaliwa piga kazi na mungu akipenda uje uwe rais wetu.

Hongera PM Allah akusimamie
Urais? Yaani alietudanganya kuwa JPM yupo ofisini anapitia mafaili kumbe anapigania uhai wake ICU ndio unasema achape kazi??

Alisaidia nni wana kusini walipopigwa korosho? Amewasaidiaje wana kusini kunufaika na bomba la gesi?? Kma jimboni kwake tu aliengua wagombea ili apite bila kupingwa then hana moral authority ya kusimamiwa na Allah as u prayed!!

Embicile
 
Back
Top Bottom