Spika ni Nchimbi mtaniambia!
 
Achana na marehemu. Makamu. Waziri mkuu na judge walikuwa waislamu. Ndo nchi hiyo. So stop your nonsense. He is dead.
Sasa unalalamika nini?? Waislam hapa kila siku walikuwa wanalalamika mlikuwa mnawasikiliza??
 
kuna Muda mtu unakua hata huelewi upo Tanzania au umehamishwa bila kujua,,, mambo ni mengi watupumzishe kidogo basi na hofu zao za madaraka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…