Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Watanzania baadhi yenu huwa mnachekesha sana. Kwani wewe huwezi kuwa Spika hadi useme fulani ndo Spika?

Pambana kivyako acha kukaa kutabiria wenzako tu utabaki mganga wa kupiga ramli tu wenzako wanakula maisha.

Uzuri Spika sio lazima awe mbunge anaweza kuwa mtu yeyote isipokuwa awe ametokana na chama chochote cha siasa.
Spika ni Nchimbi mtaniambia!
 
Achana na marehemu. Makamu. Waziri mkuu na judge walikuwa waislamu. Ndo nchi hiyo. So stop your nonsense. He is dead.
Sasa unalalamika nini?? Waislam hapa kila siku walikuwa wanalalamika mlikuwa mnawasikiliza??
 
Back
Top Bottom