Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika ni Nchimbi mtaniambia!Watanzania baadhi yenu huwa mnachekesha sana. Kwani wewe huwezi kuwa Spika hadi useme fulani ndo Spika?
Pambana kivyako acha kukaa kutabiria wenzako tu utabaki mganga wa kupiga ramli tu wenzako wanakula maisha.
Uzuri Spika sio lazima awe mbunge anaweza kuwa mtu yeyote isipokuwa awe ametokana na chama chochote cha siasa.
Au kuna mahali katiba imevunjwa kwa Ridhiwan kuteuliwa kuwa naibu waziri?Hata mimi nimechoka kweli Lukuvi, nje riz naib waziri?!!
Kweli katishaWezi wamerudi kuvuna mema ya Tanzania.
Hakuna jipya ni kupanga safu ya ujambazi.
Umeona mbali mkuu hasa jalalani uspika utamfaa sanaProf Jalalani au Lukuvi mmoja wao anaweza akawa spika
Mfumo mbovu snHiyo ndio shida
Sasa unalalamika nini?? Waislam hapa kila siku walikuwa wanalalamika mlikuwa mnawasikiliza??Achana na marehemu. Makamu. Waziri mkuu na judge walikuwa waislamu. Ndo nchi hiyo. So stop your nonsense. He is dead.
Amepelekwa michezoHata MKWEWE KAMPIGA CHINI.
Lisa nimekuita [emoji2]hutaki mama?Huyu mama jamani 2025 apumzishwe hatuna rais.Hamna kitu kabisa mazaga tu
Zitoke wapi ndugu yangu, inch inawenyewe kama vile chama cha kijani kilivyo na wenyewe. Ikitokea wakuja akajikuta yumo ndani basi hatadumu.[emoji28][emoji28][emoji28] nilijua sura mpya zinaingia
LukuviiiiiiiiNani amepigwa chini!!??
UsinikoseKilichonifurahisha kwenye haya mabadiliko Ni kukosekana kwa Ngwala kwenye hili Baraza. Leo nitawanunulia wanyamwezi beer tatu tatu
Sukuma gang 😂😂😂😂Wahuni ndio wanapewa nyadhifa... duh