Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 477
- 636
Na bado haitatusaidia chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni matumizi mabaya ya katiba mbovuNa bado haitatusaidia chochote.
Waambie wakusubiri we mtu mzitoDuhh ngoja kwanza niko hapa mlingotini nasoma upepo nitawaletea taarifa kamili muda si mrefu.
Kwani hawawezi kusubiri kidogo??
Yes ipo live sasa.
Tunasubiri..Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
Wizara gani?Ummy mwalimu she's back... Kwenye wizara iliyo mtoa jasho....
Karibu sana mama
Bora.aweke.watu wote wa chato ili ule.uwanja usianikiwe.dagaaWaweke wazanzibar wote huenda moyo wake utatulia
Basi nchi imesharudi kwa wapiga dili kama nape na rizi wamoPongezi nyingi sana kwa Mhe. Nape Nauye.
hakika mvumilivu hula mbivu.
Hawa wenye shauku nalo ni wanasiasa,...raia wa kawaida wapo juani wanajitafutia riziki.Watanzania bhana!
Waziri atayabadili maisha yako?
AfyaWizara gani?