Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Zanzibar mwaka wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msoga era is back.Basi nchi imesharudi kwa wapiga dili kama nape na rizi wamo
Kwa hiyo doro kapigwa chini, aende akatwst mitambo vizuriAfya
Hivi inch hii haina watu wengine tofauti na hawa wanaozunguka humo humo?Pongezi nyingi sana kwa Mhe. Nape Nauye.
hakika mvumilivu hula mbivu.
sasa wizara ya Habari itakuwa hai.
Wateuliwa wako wapi mi naona breakingnews tu, hata siwaelewi🤔.Wateuliwa nendeni mkatafune nchi nawatakia utafunaji mwema
Kwa speed mia ishiriniMsoga era is back.
Akatestiwe mbususu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849] Hii nchi ngumu mnoo [emoji23][emoji23]Kwa hiyo doro kapigwa chini, aende akatwst mitambo vizuri
...hatimaye kafutwa machozi.Naona Nape karudi kama ilivyotarajiwa
Nipo bwana [emoji120][emoji120] una bahatiMuda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Baraza la Mawaziri
Mwigulu kapona!?
Hebu acha bangi zako alikuambia baba yako asiingie kwenye system nani ebo.😀 jokesKupeana kwa urithi
1. Makamba
2. Mizengo pinda
3. Kikwete
4. Mnauye
5.
Kapangiwa wizara nyingineKwa hiyo doro kapigwa chini, aende akatwst mitambo vizuri