Kwa hiyo waliokunywa mitishamba ya Covid kinafiki wote wamepigwa chini
 
Ccm inawenyewe wamerudi wote team kikwete
Hapa kula kuliwa tu mama anagawa keki ya taifa kwa kurudisha shukrani kwa maelekezo maalum.

Hili taifa ni mdundo hatutasonga mbele
Waache walitafune tuu.
 
Yeye ndiye mwenye Siri ya mikopo asingeweza kumtosa Kwa sasa. Washirika wote wa Redio Mbovu wamepigwa chini ukimuondoa Kiranja Mkuu.
Hapo ndiyo mama huwa anafeli utambakishaje yule mwenye mikoba ya jiwe?
 
So, kumbe Prof. Kitila, Prof. Kabudi, Lukuvi, Mwambe na Waitsra ndio waliokuwa wanampa Samia joto la 2025?

Kabudi arudi jalalani kwake tu sasa
 
Ni kuongeza matumizi kwa wananchi.
 
DROPPED 🤔

William Lukuvi

Prof. Palamagamba Kabudi

Prof. Kitila Mkumbo

Geoffrey Mwambe
Hii inchi Lukuvi, Kabudi, Mkumbo chali bi mkubwa kapwiyanga, inchi hii wasiojua ndio wanapewa nafasi kila nikimtizama Kimei moyo huwa unamia.

Haya na CCM imerudi kwa wazawa, mzazi anampa mwana shavu.Vasco Dagama ana upiga mwingi sana, safari kampa pande mwanae,kweli inchi imefunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…