b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,195
- 2,109
AONGEZE SINDANO AINA YA gentamicin, zimeadimika.Ummy mwalimu she's back... Kwenye wizara iliyo mtoa jasho....
Karibu sana mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AONGEZE SINDANO AINA YA gentamicin, zimeadimika.Ummy mwalimu she's back... Kwenye wizara iliyo mtoa jasho....
Karibu sana mama
Waweke wazanzibar wote huenda moyo wake utatulia
Kosa lake nini??Huyu mama jamani 2025 apumzishwe hatuna rais.Hamna kitu kabisa mazaga tu
KAONGEZWA NA RIZI kama ilivyotarajiwa.Naona Nape karudi kama ilivyotarajiwa
BWANA PGO[emoji16]Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.
Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya
Uteuzi (Mawaziri Wapya):
Nape Moses Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi
Dkt. Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Dkt. Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo
Jumanne Abdallah Sagini - Mambo ya Ndani
Dr. Lemomo Ole Kiruswa - Madini
Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)
Mabadiliko ya Mawaziri:
Jenista Mhagama - Utawala Bora
Ummy Mwalimu - Afya
George Simbachawene - Katiba na Sheria
Profesa Joyce Ndalichako - Waziri wa Kazi
Innocent Lugha Bashungwa - TAMISEMI
Profesa Adolf Mkenda - Wizara ya Elimu
Dkt. Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum
Mohammed Mchengerwa - Utamaduni na Michezo
Dkt. Ashatu Kijaji - Uwekezaji
Mawaziri Walioachwa
Palamagamba Kabudi - Alikuwa Wizara ya Katiba na Sheria
William Lukuvi - Alikuwa wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi
Kitila Mkumbo - Alikuwa Wizara ya Viwanda na Biashara
Geoffrey Mwambe - Alikuwa Wizara ya Uwekezaji
=====
Kwa Ufupi;
Ikulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis Hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
🤣Profesa Joyce Ndalichako - Waziri wa Kazi
Ndugu yangu huo wakati mgumu ataupata wapi 2025 wakati anayo dola? Tunaumia sisi wananchi. Uchaguzi anaandaa yeye,kura anahesabu yeye na kutangaza yeye sasa huo wakati mgumu huko wapi kwake? Tufunge na kuomba.Ndio hivi yaani manaa anaacha mawaziri wa maana anateua watu wao hivyo wa kuturudisha nyyuma .2025 atakuwa na wakati mgumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Waitara a.k.a mzee wa GambeMwambe
Lukuvi
Kabudi
Kitila
Out......
ShukraniGeoffrey mwambe sio Cecil mwambe
Aliyepewa kapewa tu hamna jinsiNashukuru CCM yetu ya Kikwete imerudi...
Hilo ndiyo la msingi kabisaNafurahi Sukuma Gang na Mataga wamezidi kuangukia pua
Punguza munkari masta😀Waweke wazanzibar wote huenda moyo wake utatulia
Hata sura zao zilikuwa zinajionyesha kabisa yaani mtu ana toa macho utadhani chura kabanwa na mrangoKwa hiyo waliokunywa mitishamba ya Covid kinafiki wote wamepigwa chini
Roho yake itatulia aweke waislam tupu.Waweke wazanzibar wote huenda moyo wake utatulia
Baada ya kundi lenu kupigwa chini ndio unaona umuhimu wa upinzani ? Hahahahaha haya banaUpinzani + Sukuma Gang+ Kundi la mtandao wanaweza kuipasua CCM kuliko wakati wowote na nchi ku experience vuguvugu ambalo halijawahi kutokea.
Kosa lake nini??