BWANA PGO[emoji16]
 
Ndio hivi yaani manaa anaacha mawaziri wa maana anateua watu wao hivyo wa kuturudisha nyyuma .2025 atakuwa na wakati mgumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu huo wakati mgumu ataupata wapi 2025 wakati anayo dola? Tunaumia sisi wananchi. Uchaguzi anaandaa yeye,kura anahesabu yeye na kutangaza yeye sasa huo wakati mgumu huko wapi kwake? Tufunge na kuomba.
 
Natamani wapinzani niwaunganishe haraka, Ccm wengi waliochoka humo niwaunge na tuanzishe kitu kipya haki 2025 tutakua Zambia mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…