Watoke wapi wakati hao ndo wabunge wa ccm.kwahiyo lazima wazunguke hao hao.Hivi inch hii haina watu wengine tofauti na hawa wanaozunguka humo humo?
LAZIMA SASA RAIS SSH AUNDE KIKOSI KAZI CHA KUFATILIA UTENDAJI KAZI WA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU NADHANI INAWEZA KUSAIDIA SANA UWAJIBIKAJI WAO SIYO WANAKUWA WANAGOMBANIA MICHONGO YA PESA TU !!!!!!!!!!!Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.
Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya
Uteuzi (Mawaziri Wapya):
Nape Moses Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi
Dkt. Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Dkt. Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo
Jumanne Abdallah Sagini - Mambo ya Ndani
Dr. Lemomo Ole Kiruswa - Madini
Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)
Mabadiliko ya Mawaziri:
Jenista Mhagama - Utawala Bora
Ummy Mwalimu - Afya
George Simbachawene - Katiba na Sheria
Profesa Joyce Ndalichako - Waziri wa Kazi
Innocent Lugha Bashungwa - TAMISEMI
Profesa Adolf Mkenda - Wizara ya Elimu
Dkt. Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum
Mohammed Mchengerwa - Utamaduni na Michezo
Dkt. Ashatu Kijaji - Uwekezaji
Mawaziri Walioachwa
Palamagamba Kabudi - Alikuwa Wizara ya Katiba na Sheria
William Lukuvi - Alikuwa wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi
Kitila Mkumbo - Alikuwa Wizara ya Viwanda na Biashara
Geoffrey Mwambe - Alikuwa Wizara ya Uwekezaji
=====
Kwa Ufupi;
Ikulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis Hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mat
YaWEza kuwa mwanasgang.Nchi imerudi Msoga... bado mtoto wa Kinana tu π€£π€£π€£
Tuwekee na makatibu wakuuMuda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.
Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya
Uteuzi (Mawaziri Wapya):
Nape Moses Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi
Dkt. Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Dkt. Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo
Jumanne Abdallah Sagini - Mambo ya Ndani
Dr. Lemomo Ole Kiruswa - Madini
Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)
Mabadiliko ya Mawaziri:
Jenista Mhagama - Utawala Bora
Ummy Mwalimu - Afya
George Simbachawene - Katiba na Sheria
Profesa Joyce Ndalichako - Waziri wa Kazi
Innocent Lugha Bashungwa - TAMISEMI
Profesa Adolf Mkenda - Wizara ya Elimu
Dkt. Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum
Mohammed Mchengerwa - Utamaduni na Michezo
Dkt. Ashatu Kijaji - Uwekezaji
Mawaziri Walioachwa
Palamagamba Kabudi - Alikuwa Wizara ya Katiba na Sheria
William Lukuvi - Alikuwa wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi
Kitila Mkumbo - Alikuwa Wizara ya Viwanda na Biashara
Geoffrey Mwambe - Alikuwa Wizara ya Uwekezaji
=====
Kwa Ufupi;
Ikulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis Hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
Waitara a.k.a mzee wa Gambe
Vibaya sana sasa hivi yupo analia kikuryaaaaWaitara katemwa?
Manaibu walioachwa pia.Tuwekee na makatibu wakuu
Sukuma gang ni kama maji usipoyanywa, utayaoga.Hilo ndiyo la msingi kabisa
Matunda ya usaili na kununulika kama nyanya, hasara nje nje, kwani nyanya kuoza dk 2 nyingiπ€Έ.Waitara katemwa?
π π π πWaitara a.k.a mzee wa Gambe
Sijui ataficha wapi kile aibu zake maana alikuwa anatamba kweli kweli mitaaniMatunda ya usaili na kununulika kama nyanya, hasara nje nje, kwani nyanya kuoza dk 2 nyingi[emoji1732].
π π π π πkuna Muda mtu unakua hata huelewi upo Tanzania au umehamishwa bila kujua,,, mambo ni mengi watupumzishe kidogo basi na hofu zao za madaraka..
Kwa hiyo ni mwanasgang na unaamini katika Hilo sio?Sukuma gang ni kama kama maji usipoyanywa, utayaoga.
Dotto, Tax, Mashimba, Mabula.
Kwa tikiti bovu au zima π€Έ.Waitara anapiganoa 2025 Urais?
Mura, ndakutema!Vibaya sana sasa hivi yupo analia kikuryaaaa
LoooooohhhhMura, ndakutema!
Sukuma gang ni iman,Kwa hiyo ni mwanasgang na unaamini katika Hilo sio?
Kwa tikiti bovu au zima π€Έ.