Ina maana mkoa wa Mara hakuna mbunge anayeweza kuwa waziri kwel sa100 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa unalalamika nini?? Waislam hapa kila siku walikuwa wanalalamika mlikuwa mnawasikiliza??
Kwa hiyo wakiteukiwa waislamu tupu ndio umasikini wako unaisha?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabudi na mkumbo kwa Nini wamepigwa chini, au sababu si CCM asilia, Hawa ndo walikuwa wa kumshauli jiwe kuhusu umuhimu wa katiba mpya ila wao walikuwa wanalamba viatu vya jiwe.
 
Kwa kifupi sana.
Kitila Mkumbo kapigwa chini.
Cecil Mwambe kapigwa chini
Waitara nae kapigwa chini...

Hawa wote ni miongoni mwa Wana Chadema seniors waliosaliti harakati za ukombozi.

Wacha tusubiri hatma ya Akina Halima Mdee
Wote hao ni wabunge hadi 2025 uwaziri ni kitu cha kupewa muda wowote unanyanganywa
 
Kabudi na mkumbo kwa Nini wamepigwa chini, au sababu si CCM asilia, Hawa ndo walikuwa wa kumshauli jiwe kuhusu umuhimu wa katiba mpya ila wao walikuwa wanalamba viatu vya jiwe.
Kwamba katiba mpya ndio ingewapa uwaziri wa kudumu?
 
Kabudi na mkumbo kwa Nini wamepigwa chini, au sababu si CCM asilia, Hawa ndo walikuwa wa kumshauli jiwe kuhusu umuhimu wa katiba mpya ila wao walikuwa wanalamba viatu vya jiwe.
Mkumbo anaenda kuwa Spika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…