Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Kikwete ni mmoja wa Kiongozi mwenye impact kubwa kwa watoto wa maskini wa Tanzania. Inabidi ashangiliwe zaidi kuliko kuzomewa zaidi.Lengo lake la kumridhisha kikwete limetimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete ni mmoja wa Kiongozi mwenye impact kubwa kwa watoto wa maskini wa Tanzania. Inabidi ashangiliwe zaidi kuliko kuzomewa zaidi.Lengo lake la kumridhisha kikwete limetimia
SawaHawana cha kupoteza maisha yao yako palepale
Ndo maana hutakiwi kukariri maisha.Hakuna haijuaye kesho.Nape waziri Ndugai mbunge! Kweli siku hazigandi......
Pambana jichomoke uwemoHivi inch hii haina watu wengine tofauti na hawa wanaozunguka humo humo?
Najua timu jiwe wazee wankusifu na kuabudu inawauma sana, tulitoka mavumbuni tutarudi mavumbini, muhimu kuishia kwa maslahi ya umma wa Watanzania, sio kikundi Cha watu flani. Leo uyu kesho Yule, Amina.Tangu timu zianze kuteuliwa zimebadilisha nini kwenye maisha yako binafsi!?
Umasikini wako utabaki pale pale hata akiteuliwa mjomba ako
sorry labda mimi nipo nyuma ya wakati, inakuwaje usema Rais atangaza baraza la mawaziri hapo baadae halafu wewe utupatie baraza la mawaziri ambalo hlijatangazwa? ina maana umedukua mkeka wa muheshimiwa?Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.
Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya
Uteuzi (Mawaziri Wapya):
Nape Moses Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi
Dkt. Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Dkt. Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo
Jumanne Abdallah Sagini - Mambo ya Ndani
Dr. Lemomo Ole Kiruswa - Madini
Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)
Mabadiliko ya Mawaziri:
Jenista Mhagama - Utawala Bora
Ummy Mwalimu - Afya
George Simbachawene - Katiba na Sheria
Profesa Joyce Ndalichako - Waziri wa Kazi
Innocent Lugha Bashungwa - TAMISEMI
Profesa Adolf Mkenda - Wizara ya Elimu
Dkt. Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum
Mohammed Mchengerwa - Utamaduni na Michezo
Dkt. Ashatu Kijaji - Uwekezaji
Mawaziri Walioachwa
Palamagamba Kabudi - Alikuwa Wizara ya Katiba na Sheria
William Lukuvi - Alikuwa wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi
Kitila Mkumbo - Alikuwa Wizara ya Viwanda na Biashara
Geoffrey Mwambe - Alikuwa Wizara ya Uwekezaji
=====
Kwa Ufupi;
Ikulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis Hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
Inaonyesha hii ndo imemtoa Lukuvi, ila alikuwa waziri makini sana
Sisiemu itaendelea kushinda viti vya ubunge na urais bila hata kuiba kura, kitakachotokea ni wananchi wachache watajitokeza kupiga kura... bado hamna chama mbadala hapa tanzania... chadema muache kudanganyanya, faraja yenu itaendelea kuwa kuona sisiemu wanapasuana ila mwisho wa siku wataendelea kutawala hii nchi kwa muda mrefu sana...Wewe endelea kuuwaza upinzani wakati hiyo ccm yako ndo bye bye baba jeni.Kama huna akili zakutosha kusoma alama za nyakati huwezi kuona hilo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Labda wewe na familia yenu ndiyo mnaichukia! Kwanza chuki ya nini?Huwa najiuliza sijui Kikwete huwa anaifikiria familia yake kwamba ataiachaje siku akienda au anafikiri ataishi milele? Hakuna Familia inayochukiwa Tanzania kama hiyo na kila siku chuki inazidi.
Haya Spika Ndugai yuko wapi ?
Huu ndiyo upumbavu tusioutaka. Yani mtu umpe wizara na mshahara alafu uunde kikosi kazi Cha kufatilia?. Pole Tanzania yetu.LAZIMA SASA RAIS SSH AUNDE KIKOSI KAZI CHA KUFATILIA UTENDAJI KAZI WA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU NADHANI INAWEZA KUSAIDIA SANA UWAJIBIKAJI WAO SIYO WANAKUWA WANAGOMBANIA MICHONGO YA PESA TU !!!!!!!!!!!
Hii kaongea lini? Ina ukweli hata hivyo...
Eltwege hayupo?Mwigulu kapona!?
Mlivyokuwa mnawasema wachaga mlijua itaishia kwa wachaga tu. Imeanza kusambaa hii dhambi.sasa ipo kwa wasukuma ikitoka uko itaenda kwa makabila wengine. Mpaka mtubu hii dhambiKwani wasukuma si watu? Mbona ukabila ni mwingi sana siku hizi?? Watu ni kusema sukuma gang tu