Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Najua timu jiwe wazee wankusifu na kuabudu inawauma sana, tulitoka mavumbuni tutarudi mavumbini, muhimu kuishia kwa maslahi ya umma wa Watanzania, sio kikundi Cha watu flani. Leo uyu kesho Yule, Amina.
Kwa hiyo wewe timu samia umeula? Umeteuliwa leo na ukoo wako hamtakuwa masikini tena?
 
Unatoa mtu wa maana Kama Lukuvi kwenye ardhi alishakomesha migogoro ya kipumbavu. Mnaweka wenye upumbavu ambao wazazi wao walishindwa hata kuzuia mauwaji ya wakulima na wafugaji.
 
Sisiemu itaendelea kushinda viti vya ubunge na urais bila hata kuiba kura, kitakachotokea ni wananchi wachache watajitokeza kupiga kura... bado hamna chama mbadala hapa tanzania... chadema muache kudanganyanya, faraja yenu itaendelea kuwa kuona sisiemu wanapasuana ila mwisho wa siku wataendelea kutawala hii nchi kwa muda mrefu sana...
Bado uko gizani.Siasa za mabadiliko sio lazima zifikiwe kwasababu ya kua na chama mbadala.Ukiona wananchi wengi hawajitokezi kupiga kura jua ndio anguko lenyewe.sina haja yakukutafunia kila kitu ila muda ni mwalimu mzuri,tusubiri utatupa majibu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unatoa mtu wa maana Kama Lukuvi kwenye ardhi alishakomesha migogoro ya kipumbavu. Mnaweka wenye upumbavu ambao wazazi wao walishindwa hata kuizuia mauwaji ya wakulima na wafugaji.
Mabula ni wa kwetu kanda ya ziwa
 
Mkenda ni mtendaji mzuri, angemuacha ningemshangaa sana. Wizara ya elimu imepata jembe.
 
Timu magu yote nje kamsahau Biteko tu haha. Najua matumbo ya watu yalikuwa yanawaka moto hahaha
 
Bado uko gizani.Siasa za mabadiliko sio lazima zifikiwe kwasababu ya kua na chama mbadala.Ukiona wananchi wengi hawajitokezi kupiga kura jua ndio anguko lenyewe.sina haja yakukutafunia kila kitu ila muda ni mwalimu mzuri,tusubiri utatupa majibu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Awezi kukuelewa kamwe
 
Ndio hivi yaani manaa anaacha mawaziri wa maana anateua watu wao hivyo wa kuturudisha nyyuma .2025 atakuwa na wakati mgumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Magufuli ameshapanda mbegu ya kuingia madarakani bila kuheshimu box la kura. Mlikuwa mnafurahia ule uhuni, sasa ngoja watu wapeane vyeo kwa kujuana maana hawategemei box la kura.
 
Kwa hiyo wewe timu samia umeula? Umeteuliwa leo na ukoo wako hamtakuwa masikini tena?
Me Sina timu , ila naongozwa na sheria ya right and wrong. Huwezi Nikita nasifia ujinga kama sukuma gang. Mnaona mtu analipeleka taifa shimoni mnasifia tu, kwa kusema mitano Tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Mtu anajiona anaweza kufanya chochote anachotaka katika nchi hii wakati hata akifa Leo hakutafanyika teuzi kuziba nafasi Wala uchaguzi. Ila huu Ni mwaka wake wa mwisho kuharibu hii nchi.
 
Baada ya kundi lenu kupigwa chini ndio unaona umuhimu wa upinzani ? Hahahahaha haya bana
Kundi la nani? Sukuma gang ni myth tu si kundi rasmi bali kundi lenye fikra moja. Msingi wake awali ilisemwa ni wasukuma lakini ukiangalia wanaotajwa tajwa wengi si wasukuma!
 
Back
Top Bottom