Basi mama anapo endelea kupiga kazi , na kuchagua timu yake mpya , inabidi mshangilie
Tangu timu zianze kuteuliwa zimebadilisha nini kwenye maisha yako binafsi!?

Umasikini wako utabaki pale pale hata akiteuliwa mjomba ako
 

Mkuu Roving Journalist salam kwako. Naomba ikikupendeza update na list ya Makatibu wakuu. Ahsante
 
Wewe endelea kuuwaza upinzani wakati hiyo ccm yako ndo bye bye baba jeni.Kama huna akili zakutosha kusoma alama za nyakati huwezi kuona hilo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hata sura zao zilikuwa zinajionyesha kabisa yaani mtu ana toa macho utadhani chura kabanwa na mrango

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu cha aibu mtu mzima kuwa mnafiki
Halafu mbaya zaidi so called wataalamu
Ila mama kapiga kwenye mshono
 
Tangu timu zianze kuteuliwa zimebadilisha nini kwenye maisha yako binafsi!?

Umasikini wako utabaki pale pale hata akiteuliwa mjomba ako
Hayo mijane imebaki kulialia. Eti legacy. Legacy my foot!
 
Huyu Doto Biteko Upepo wake uko Vizuri, Mganga wake ni nani aisee mana mpaka leo ana hema, au kafukia mbuzi mzima hapo Wizarani, Kongole kwake Dr Biteko
Biteko ndio mtu sahihi kwenye wizara ya Madini. Anaielewa vizuri sana hiyo wizara na amefanya mambo mengi ambayo yameinufaisha nchi na wachimbaji wadogowadogo.
 
Kuna chuki na kiasi? 👇


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…